Amewashtusha wengi baada ya Kuamua kubadili dini kuwa Muislamu kisha
kuolewa na Mpenzi wake wa Muda Gadner Dibibi....wadau wengi na wapenzi
wa Bongo Movie wamekuwa wakihoji juu ya Ndoa Hiyo iliofungwa kisiri sana
na kwa haraka,Je Ndoa Hiyo Itadumu? Je ni kweli wamehamua kukaa kwenye
Maadili ya Ndoa..? au Ni kama Mchezo wa Mjini kubadilishana Dini na kuoana
mwishowe ni kuachana....Tusubiri Tuone.....
This Is Diamond inapenda kumtakia Jack Pentezel na Mumewe Gadner Dibibi
Baraka Tele,Amani na Upendo utawale kwenye Maisha yao ya Ndoa..
Angalia Picha Hapa Chini:
Sio mbaya tuwaombee Mungu ailinde yao iwe ya mda mrefu, Hongeren maharusi!
ReplyDeleteNawatakia kila la heri katika maisha yao mapya ya ndoa
ReplyDelete