Hemed PHD "Nimeshindwa kuhandle pressure ya Wanawake Bora Nioe Sasa"


Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambae pia ni mcheza filamu hodari hapa Bongo, Hemedy PHD jana aliandika kupitia mtandao mmoja wa kijamii na kusema BORA KUOA...
Ni nini kilichomkuta PHD?? Well PHD aliandika hayo kutokana na usumbufu mkubwa anaoonekana kuupata kutoka kwa watu katika simu yake ya mkononi...
Hemedy (@hemedyPHD) ambae alilalamika kuwa amechoka na kuwa-block simu/watu hawa lakini pia kufikia kuona bora aoe alitweet " Nimeshindwa kuhandle pressure ya wasumbufu ktk simu yangu! Maisha ya kublock simu pia nimechoka! BORA KUOA! sijui itasaidia?? NABADILISHA NUMBER"
Hemedy aliandika haya huku ikonekana wanaomsumbua zaidi ni wasichana/wanawake ambapo amefikiria ni bora aoe ili kupunguza au kuondoa usumbufu huu...
Pamoja na mawazo haya, pia PHD (Star wa single GOING CRAZY) amejiuliza kama hili litasaidia kuondokana na usumbufu huu anaoupata sasa...
Hemedy amekuwa akiongelea mara kwa mara kuhusu yeye kupendwa na wasichana ambayo may be ni muonekano au kazi zake za kisanii anazofanya...
PHD pia aliwahi kusema kuwa siku akiamua kuoa inabidi aandae shindano la kutafuta mke bora (kama ilivyo katika kusaka vipaji) ambae ataishi nae milele ili kumpata yule anaefaa...

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani ni demi gani anamzimia huyu jamaa ??? Manake toka nimeanza kusikia kuwa huyu jamaa madwmu wengi wanamzimikia sijawahi hata siku moja kusikia kuona semu yoyote akisema kuwa anamzimia jamaaa, wala kusikia eti kuna mademu wamepigana /gombana kwa ajili yakumgombania jamaa, inaonekana jamaa anapenda tu kujipigia mstari waati hana lolote. Labda anagombaniwa na machangu doa akiensa kuwanunua lakini sio wanawake timamu wenye

    ReplyDelete
  2. Hahahahahaha acha kujifagilia sifa za kijinga sifa kusifiwa sio kujisifu hivi demu mgani ambae nimkali mzuri aanze kukusumbua ww 2 wkt kuna midume kibao ni mahndsome na walet masaa yte inacheka na wenye uwezo hata kukunua ww na kukufanya uwe kijakazi wke yani hao mademu washindwe kuwasumbua watu kama hao waje waku disturb bwege kama ww hahahahahahahah acha kijipruod mshamba ww... Fala we kenge mkubwa

    ReplyDelete
  3. Huyu mshkaji ni VERSITILE GAY..sasa ataoa ama wataoana na gay mwenziwe...duuh kweli akina dada msimsumbue

    ReplyDelete
  4. Hili jamaa fala kweli,kwa uzuri gani alionao mpaka asumbuliwe na waakinadada,kachuja sasa anatafuta umaarufu,kuimba kwenyewe unabahatisha,kwa ufupi ur stupid

    ReplyDelete
  5. Ameen!... Ni bonge la mbulula..... Cjawahi kuckia hata kafumwa na demu gest mm au naongop............?

    ReplyDelete
  6. Hahahahahah inabidi nicheke kwa comments

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad