Picha Hii ni Imepostiwa kwenye facebook na Mke wa mtu sasa hapo we can't tell if ni yeye ama la...ila kwa kifupi nimemuuliza why ameweka na haoni itamsababishia matatizo na mumewe akanijibu kwa kifupi kuwa mumewe hayupo Facebook so hawezi kujua ...Je anatafuta nini kuweka picha kama hii? Na je unamshauri vipi?.
ni mshenz hafai hat kuitwa mke so kwa kuwa mumewe hayupo facebook ndo aweke heshima ya mumewe hadharani?
ReplyDeleteduu, ise ni nomaa
ReplyDeleteNani amempiga hiyo picha
ReplyDeleteDah huyo siomke
ReplyDeleteInaonekana wewe ndie mwizi wake
ReplyDeleteMzee hamtoshelezi kitandani
ReplyDeletekwan unawasha dadavp mmeo atosh
ReplyDelete