Huyu Ndio Mbwana Samatha Mfungaji wa Mabao Mawili Taifa Star Vs Morocco

Mbwana Samatha katikati wakishangalia bao
 Huyo ndio mchezaji ajulikanae kwa jina la Mbwana Samatha, Ndio Aliye ipatia Taifa Star Mabao wawili dhidi ya Morroco Leo ...Nakuweza kupata Ushindi wa Bao 3-1..Thomas anacheza Mpira wa kulipwa huko Kongo na Team ya TP Mazembe...Picha Zaidi Hizi Hapa Chini  katika Mapozi Mbali Mbali:
Mbwana Samatha

Mbwana Samatha Akimtoka Mchezaji wa Kameroon

Mbwana Samatha akishangilia Bao

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad