Thomas Ulimwengu Akimtoka Mchezaji |
Huyu Ndio Thomas Ulimwengu Mfungaji wa Bao La Kwanza Taifa Stars Vs Morocco
0
March 24, 2013
Kama ulikuwa haumjui Thomas Ulimwengu basi ndio huyu- Thomas Ulimwengu Mfungaji wa Bao La Kwanza Taifa Stars Vs Morocco na kusaidia kuipa Ushindi wa bao 3-1..Thomas anachezea Team ya Mpira ya TP Mazembe ya Kongo
Tags