HomeMedia BarJeee Unatamani Kua na Mume Kama Huyu? Jeee Unatamani Kua na Mume Kama Huyu? 3 Udaku Special March 24, 2013 Kwa kawaida kina dada wengi wanajisikia kumpata mume aliobora Kwa akina dada jeee unafurahia kumpata mtu wa aina hiii au unachukia? Na jeee wanaume munafurahia hii hali ya kuwasaidia familia zenu au kwenu ni ubwege? Tags Mapenzi Media Bar Newer Older
Mume wa hv boya, tena bonge la mbwiga. ana2dhalilisha wanaume wenzio.
ReplyDeleteIts good but mke sio ajikalishe mi nkiwa nafanya haya.
ReplyDeletekusaidia ni vizuri, hata mimi ningependa nipata wa hivyo:
ReplyDelete