Mavazi ya Dada Zetu Kwenye Nyumba za ibada yanatia Aibu
8
March 24, 2013
Nimehudhuria kanisani leo, nashangaa baadhi ya mabinti wanavaa nguo za aibu hadi uongozi wa kanisa ninako sali wamepitIsha azimio la kuwavika kanga wanawake watakaokuja na nguo zisizo na staha kanisani....,
maswali yangu ni kwamba mwanamke anapovaa nguo isiyo na staha kanisani huwa anamfurahisha nani? Pia huwa najiuliza hata kwenye bendi za muziki ukitazama wacheza shoo wa kiume na wa kike utashangaa tofauti ya uvaaji wao, maana utakuta wanaume wamevaa kiheshima sometimes suti kabisa lkn kwa dada zetu daaaaaaaaahhh wanavaa nguo za kubanaaa na vitovu vikiwa nje, halafu wanaharakati wa haki za kijinsia wapo kimyaaa. Big up kwa wanawake wote wanaovaa nguo za heshimu kwa maadili ya ki-tz.
Astakafir lah laadhim
ReplyDeleteNdo ameenda kwa mungu wake ivo? Alaf anategemea nn ?
ReplyDeleteDunia sasa imebadilika digital nayo imezidi kuwafanya watu wawe kama mbulula tumwombe mungu hatuondolee rahana.
ReplyDeleteWanaswala hao
ReplyDeleteWanaswala hao
ReplyDeleteSiyo picha ya kanisani hiyo yupo ukumbini kwenye sherehe huyo.
ReplyDeleteIzo zote kuni mtoni
ReplyDeleteSherehe ndo uende uchi? Pumbavuuuuu..
ReplyDelete