Nimekutana na hii picha katika wall yake ya Facebook huku akiwa ameandika haya maneno "Mi ni Mti wenye Matunda Milele siogopi Kupigwa Mawe"
Hapa Ni Picha Akiwa Kisiwa cha Ukerewe Alipowasili kupiga show ya Nguvu Last week...
Mi ni Mti wenye Matunda Milele siogopi Kupigwa Mawe"Diamond Platnumz
0
March 21, 2013
Tags