Anaitwa Nancy Njozy Amefanya filam moja inaitwa Seven Dadaz storyake ni madada 7 wanaofanya kazi ya kujiuza katika Movie hiyo yupo Mlela na Mastaa Wengine na nyingine aliyofanya bi Dada huyu ni hii inayo kuja Inaitwa Bonge La Bwana ndani Filam hiyo yupo Jb,Mtambalike na Dk Chen , Pia Nancy anaonekana kwenye Moviez Zingine kama Uyoga ya Mtambalike na ameshoot Video atu Kama Video Model Nataka kulewa ya Diamond, Jimwage ya nature na Ayaya ya Speinceft Alikiba na anatarajia kushoot Wimbo mpya wa Abdu kiba...!