Mpenzi wangu Anataka Niwe na Girlfriend wawili yeye na Mwenzake
7
March 24, 2013
Nashindwa kuelewa ana maana gani..Huyo mpenzi wangu amekuwa na rafiki yake wanapendana sana kila mahali wako wote na siku zingine huwa nikitoka na mpenzi wangu out analazimisha na rafiki yake awepo...Sasa siku za hivi karibuni amekuwa akiniambia kuwa its ok kuwa naye na huyo rafiki yake...week iliyopita alikuja nyumbani kututembelea usiku ulipofika akaamua kulala japo tuna chumba kimoja tu, mie kwa aibu nikalala sebuleni japo mpenzi wangu alikuwa ananishawishi tulale naye kitanda kimoja..na its ok tukifanya theresome ila mimi nilikataa...Naomba ushauri wana udakuz hii ni Halali ? Je niendelee kuwa na wote ama nisimamie msimamo wangu wa kuwa na mmoja?
Piga kaka ili mradi wamekubaliana wao,ww kazi yako kutoa kazi tu.
ReplyDeleteDah unauliza makofi pplisi, mm ningekula tena bila hata kunawa, ukipata bahati ya kubadili mboga kirahisi hivyo utanenepa. So long una nguvu za kutosha kuwaridhisha wote bs kula mjomba kabla hawajanjaruka.
ReplyDeleteKaka ucjali we piga wote ukiona ivyo ujue wamekubaliana tena iyo unakula bila kunawa kaka una bahati nasibu kaka unauliza embe wakati ndio zinapotoka msimu wa mikoa mingine ikiisha...................hapo kazi yako ni kuongeza kilo ya unga ucje ukapiga bila kula tutakusahau ok!!!
ReplyDeleteSambua wote wa wili kaka.ni baati hiyo.
ReplyDeleteKabla hujafanya hayo muende wote mkapime
ReplyDeletekama ni mimi basi wote ningewafiria mbali si wanataka wenyewe.
ReplyDeletekama ni mimi basi wote ningewafiria mbali si wanataka wenyewe.
ReplyDelete