Hii Kali..Wanawake hawa wawili walikamatwa kwenye Super Market Moja nchini Kenya wakiwa wameficha Madumu ya Mafuta ya kupikia katikati ya Mapaja yao, inasemekana hii ndio staili mpya ya kuiba vitu Super Market...Ila hawa ilikula kwao baada ya kuonekana kwenye CCTV wakiweka mafuta hayo kwenye mapaja...na baada walinzi kuwasimamisha kwa ukaguzi..AIBU TOSHA ..LOOO
Photo:Hii Ndio Style Mpya ya Kuiba Vitu Super Market
4
March 28, 2013
Tags
ni uongo halafu watatembeaje au watasimama hivyohivyo hawataondoka hembu nifafanulieni wenyekuelew kidogo niweze kuelewa watatembeaje siitandondoka
ReplyDeleteduu hyo kweli kali alf ukiwaangalia hata hawafananii na mambo waliyofanya dddddaaaa aibu cana
ReplyDeleteWana act move au..... Manake siamini!!! Duh a'i'bu!!!!
ReplyDeleteNa nyie udaku wakisenge.. Mmepata picha ya watu wakifanyao mnadai wezi
ReplyDelete