Photos:Huyu Ndio Dereva Aliyemgonga Trafiki Polisi Bamaga
7
March 26, 2013
Jackson Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge jijini Dar ss Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni.
Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena Aprili 15 mwaka huu
Je,ilikua maksudi???
ReplyDeleteNi maksudi kwa sababu hakuonyesha hata hali ya kutaka kumuokoa
ReplyDeleteUsihukumu........
ReplyDeleteNi makusudi maana hata ktk picha anaonekana kutabasamu tu badala ya kujutia alichokifanya
ReplyDeleteHakuna mtu anapenda kuua makusudi hata jambazi huua ikibidi tu na uwe mbishi kama hana kisasi na wewe. Tatizo la matraffic wengi ni kuwa na jeuri ya sheria wakidhani serikali ni ngao tosha ya kuwakinga wasigongwe na gari. Mara nyingi askari husimama katikati ya barabara kusimamisha magari ghafla tu toka vichakani bila kujali kama gari haina akili, dereva anaweza kosea nk kwa kupanic. Sidhani huyu dereva alifanya makusudi vile nasikia aliwasha taa kubwa kuashiria uharaka na hatari ila traffic hakuondoka barabarani mpaka kugongwa. Hizi kazi lazima watumie common sense , utakaaje barabarani unaona gari laja mbio c bora lawama kuliko kifo? Lets say angeiacha ipite hv kweli ingeenda kumuua rais?
ReplyDelete👌
DeleteMbona ana damu kwenye shati? Polisi hawamtesa kulipizza kisasi?
ReplyDelete