Picha: Diamond Platnumz– ‘Ladies oneni kifua changu kilivyo sasa’

Ukiwa na kifua kilichojaa misuli na six packs pale kati, mwanaume huoni shida kuvua t-shirt hadharani. Diamond ameamua kuwaonesha mashabiki wake kwenye Instagram jinsi gym ilivyombadilisha.

Wasichana wanasemaje? Ujumbe huu umevutia zaidi.

Fantacyd: Duuh yur food is so f***ng delicious penny..I can tell! Kuna vimtu vinawishI vingekua wewe coz haviwezI vinaishia kuponda dah bongo bana baadhi ya watu wanakijichoo hehehe just sayng nicpondwe mawe bure! Lol.

Kwa sasa Diamond yupo kwenye ziara za mikoani akiendelea kuingiza mkwanja non-stop kama kawaida yake.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mguu ss??? ndo tatizo... dah kama spoku hahahahaaa!!!

    ReplyDelete
  2. Mwambieni anyoe kwapa basi bana, inatia kinyaaa daaaah!

    ReplyDelete
  3. Kifua sawa je midomo nayo hanasubili nn

    ReplyDelete
  4. Kwapa linatia kinyaa,wala hapendezi,angetumia mass gainers coz kifuani tu ndo mkubwa,viguu vidogo,matako bagia! Shave your kwapa diamond,afu hilo pozi kama umelazimishwa wala haliendani na wewe ni mimi anonymous sina habaree!

    ReplyDelete
  5. Ushamba nao???style up mahn!!there are men with better bodies than yours and they don show off!!!

    ReplyDelete
  6. Acheni chuki binafsi wabongo... Mara kwapa,, mara viguu. Acheni ajishaue kwa raha zake.!!! Miwivu tu.!

    ReplyDelete
  7. inapendeza kuwa star alaf una mazoezi..sio ukipata pesa unaanza tokewa na kitambi,minyama icyo na mpango..hata kinyaa..9c kuwa na mwili wa mazoezi

    ReplyDelete
  8. Nice fanya Unachojisiikia ukitaka umridhishe Kila binadamu hasa.SIS watanzania yako hayatotimia angekuwa tray song u asher watu wangesema nice body me I luv it u look so sex and presenter.

    ReplyDelete
  9. BIG up kijana,umetoka mbali,KIP IT UP,umependeza.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad