Picha Mbali Mbali za Tukio la Kajala Kuachiwa Huru leo

 Picha Mbali Mbali za Tukio la Kajala Kuachiwa Huru leo











Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acheni wema aitwe wema. Yani she is amazing

    ReplyDelete
  2. Dunia tu wapitaji tusaidiane

    ReplyDelete
  3. Ukitoa naimani mungu anakuzidishia zaidi huyu wema huwa namfagilia sana kweli ni msanii kiooo cha jamii ametoa somo kwa wenzao

    ReplyDelete
  4. Thats True heart i Love It an thats how we hav To be guyz

    ReplyDelete
  5. Wema ni msichana mwwnye upendo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mungu akuzidishie wema camin km kajala yuko huru leo i love u sana da wema

      Delete
  6. hongera cna cicter wema mungu atakulipa kutokna na wema wako najua unaelewa dunia mapito na ndo maana una myo wa ukarimu BIG UP CNA.

    ReplyDelete
  7. HIVI HIYO KESI ALISINGIZIWA AU?!! KAMA NI KWELI ALIYOYAFANYA BASI ALISTAHILI HUKUMU ALIYOPEWA SASA WABONGO MFURAHIA NINI MFUNGWA KUPEWA DHAMANA MNAKAA MNACHEKELEA NA KUTOA PONGEZI, INASHANGAZA SANAA....

    ReplyDelete
  8. HUYU NI MHALIFU NA MWIZI SASA WASANII WENZAKE WANAPO MLILIA NA KUMSIKITIKIA NDIO NINI AU NDIO KUSEMA UHALIFU UNA UHALALI KWA KUNDI FULANI LA WATU??!!!

    ReplyDelete
  9. halafu utakuta watu wanalalamika oo, ufisadi sijui nini, upumbafu mtupuu....Watanzania ni wajinga sana.

    ReplyDelete
  10. wote hao kina wema na kina dr cheni wamo kwenye huo mtandao uliomsababishia mwenzao kuhukumiwa kifungo. so basically polisi inatakiwa iwachunguze na wao ikiwezekana walambe miaka.

    ReplyDelete
  11. Aisee kwa kweli hata mimi sielewi hili kundi wanalojiita wasanii..kwamba wao wana exception katika jamii au vipi..maana wakitumia madawa ya kulevya wanaomba msaada mpaka kwa rais wakatibiwe..wakiugua watachangishwa mpaka mawaziri kwa matibabu na huo uhalifu wanaoufanya bado wengine wanachangia kuwakomboa katika matatizo waliojitia wenyewe..sasa hawa raia wa kawaida mbona hawasaidiwi..kajala alitakiwa aingie jela ili iwe fundisho kwa hao wasanii wengine

    ReplyDelete
  12. Serikali yetu ni mbumbumbu kabisa haiwezi kuona hata hints zinazojionyesha hadharani. kweli hapa hatuna nchi wala viongozi. ni ukuma kuma tuu kwa kwenda mbele

    ReplyDelete
  13. Watu wenyewe ni malaya wa kupindukia kazi kugawa uchi na kutumwa kusafirisha madawa ya kulevya, nchi imejaa mabozongo hii. bila aibu wanajitoa kabisa kwenye vyombo vya habari. na huyo Dr cheni inaelekea ni mtu wa kutumwa tumwa tu, kwa lulu yeye kwa kajala yumo, kuhadi mkubwa.

    ReplyDelete
  14. japokua nimechelewa kuchangia .ila m2 akitoka jela ina bidi ajifunze na kujua kua k2 alchokifanya co kzur na hatakiw kurudia tena. Ila hapa tz ni vais vesa. .2jifunze jaman

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad