Picha za Rais Kikwete Akiwa Katika Ajali ya Ghorofa Liliporomoka Leo
0Udaku SpecialMarch 29, 2013
Mkuu wa mkoa Said Meck Sadick akiwa na Rais Kikwete na Kamanda wa polisi kanda maalum Dar es salaam Suleiman Kova wakiangalia uokoaji unavyoendelea katika ajali ya ghorofa lililoporomoka leo Asubuhi Dar