Sintah Ataka Kujua Chuo Gani Kina Ongoza kwa Ukahaba Tanzania


"Dearest Wadauzii

Nadhani wote tunajua kwamba vyuoni kuna mambo mengi sana na wanafunzi wa mageti kali huharibikia pale ama hujifunza ujanja chuoni, lakini mpaka dakika hii sijajua ni chuo gani kinachoongoza kwa ukahaba Tanzania perhaps hii itasaidia wazazi wanaongia ktk website hii, nimesikia mara nyingi kuna wanafunzi wengine wapo chuoni kwaajili ya kukuwadia wenzao wanaume na wakati mwingine wanazichanga mpaka wananunua gari mfano Chuo cha ustawi wa jamii kuna mwanafunzi kanunua Vitz kwaajili ya kukuwadia wenzie wanaume what a mess? mimi namjua huyo tu labda kuna mengi mimi na wewe hatuyajui ila yule anayajua hebu tulichnganue hili kujua ni chuo gani danguro.

Naomba utaje Chuo ambacho kina scandal nyingi za ukahaba na pia kama kuna maovu yanayoendelea, kuna maovu kama ya ku share bwana, lesbianism,  hayo kwa chuo yanafamika lakini kukuwadiana wanaume mpaka tuna drive bima heee si kitu kidogo inamaana huyo ni kungwi.

drop ya comment " Sintah

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unataka uwalete kwenye danguro lako

    ReplyDelete
  2. Hahahahahah daah hii kali, anyway mimi pia actualy nataka nijue ni chuo gani kinachoongoza ili niwe napiga misere hapo! Lol... Unajua habari kama hizo ndio hufanya watu waharibike zaidi, kama kuna maovu fanya utafiti kisir then chukueni acti0n! Sio mnaulizana hapa! Etioo wazazi wajue! Bullshit.. Yaani mnataka wazazi wasiwapeleke huko au vp? Na je ha0 walimu? Watakula wapi? Kama uko na niya ya kurekebisha rekebisha na siyo kui b0ycot hiyo c0llege.. Yaani ujinga wa makahaba wafe njaa walim na officials wa hiyo chu0!

    ReplyDelete
  3. Mhhj aseme tu anataka sehemu yakujiuzia na yeye apate bima, hakuna jingine hapo , wadada kwakujiuza sikuhizi ndio fesheni , ukimwi utawamaliza , mtatumika alafu mnapigwa chini hakuna kuolewa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad