Ukatili:Binti Abakwa Mpaka Kufa mbele ya Kanisa

Bint aliyejulikana Mariam umemkuta umauti baada ya kubakwa mpaka kufa,vijana hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu walifanya kitendo hicho mbele ya eneo la kanisa(Voda st)Nachingwea Lindi.Marehemu akitoka Nachingwea Resort(NR) ktk muziki cku ya ijumaa.Inasadikika marehemu alilewa na wabakaji alitoka nao muziki.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tusali sana maana hizi ni dalili za mwisho wa dunia

    ReplyDelete
  2. Da! hii kali, polen sana wazazi waliopatwa na msiba huu, pia iwe fundisho kwa wale wazazi wanaowapa uhuru watoto wao kupita kiasi

    ReplyDelete
  3. MUngu wangu huo ni unyama wa kupitiliza, hao waliofanya hilo tukio wakamatwe na wahukumiwe

    ReplyDelete
  4. do watu wameshindwa kutafuta pesa sasa wanatafuta roho xo tupige magoti tusali hali isha kuwa tata

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad