Wema Sepetu Ajitolea Kutoa Faini ya Shilingi Milion 13 Kumtoa Kajala Jela
16
March 25, 2013
Baada ya Mahakama Kumuhukumu Kajala kwenda Jela Miaka Minane ama faini ya Shiling Milion 13, Baada ya hukumu hiyo Msanii mwenzake Ajulikanae kama Wema Sepetu Amekimbia Bank ili kutoa hizo hela za kumlipia Fine Kajali aweze kuachiwa Huru ..Big Wema Sepetu ...
Tags
hiyo ni sawa bigup wema
ReplyDeleteUyo wema k tu! Bora angemwacha ili apate adabu! Tumechoka na usenge wa awa wasanii!
ReplyDeleteBig up dada
ReplyDeletenitafute wema ktk no hii nikupe hongera yako 0656218280 ILA ukipiga plz jitambulixhe kwanz.a
ReplyDeletehuo ndio wema kama jina lake bigup mdada
ReplyDeleteBIG UP
ReplyDeleteKm umetoa kwa moyo big up bt km kwa kujionesha umefanya chenga kumkomboa mwizi
ReplyDeleteAmefanya wema kama jina lake
ReplyDeletewema umefanya mama
ReplyDeletehao wanaokuona k temana nao kwan binadam ni selfish
Big up sana, huo ndivyo mnavyotakiwa kuishi kusaidiana kwenye shida na raha.
ReplyDeletecngtln Wemaaaa!!
ReplyDeletedah ! M13 parefu ! Hongera wema
ReplyDelete13 million. Moyo wa ukweli unahtajika. Big up wema
ReplyDeleteHongera wema
ReplyDelete......thanx swerhat!!!! Fo yah honest...I caught
ReplyDeleteuyo aliesema wema ni k ye ndo k mkubwa kwani hajui nini maana ya kusaidia makosa yameumbiwa binadamu k wewe
ReplyDelete