Zitto Kabwe Amaliza Mafunzo ya Kijeshi JKT

 Mbunge wa Kigoma CHADEMA, Zitto Kabwe pamoja na Wabunge wenzake kadhaa vijana leo wakemaliza rasmi mafunzo yao ya awali ya JKT katika kambi ya Mgambo 835KJ kilichopo Mkoani Tanga.



Pichani juu ni Zitto Kabwe akijiandaa kwenda katika gwaride la mwisho na picha chini akiwa shambani pamoja na Mbunge mwenzake  Iddi Azan, Abdallah haji, Raya Ibrahim na Antony Mbassa kambi ya Mgambo 835KJ.

 Aidha Zitto Kabwe amesema anafuraha iliyo pitiliza kumaliza mafunzo hayo na ameweka historia ya kubwa katika maisha yake hii leo. Anapasha zaidi katika wakati wa Zoezi la kulenga shabaha alifanikiwa kulenga risasi 3 akiwa amelala, 3 akiwa amepiga magoti na 1 akiwa amesimama..
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hongera kaka zuber,huo ndio uzalendo tunatumaini vijana wengine wakiwemo raia kunaumuhimu wa japo kupatamafunzo ya kijeshi kwaajili ya uzarendo wa nchi yetu. Nenda kawaambie bungeni haitoshi waheshimiwa tu kupata mafunzo hayo kila aliye raia wa Tz anahaki.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad