DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameinua kinywa chake na kudai kwamba kuna baadhi ya wabunge wamekuwa wakimtongoza kwa nia ya kupata penzi kwake, Amani linasimulia aliyoyasema.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii juzi jijini Dar, Aunt alisema waheshimiwa hao wanajua tayari yeye ameshaolewa lakini wamekuwa wakimpa usumbufu mkubwa na kutoa ahadi balimbali, ndogo na kubwa kitendo ambacho anaamini kinaweza kuhatarisha ndoa yake.
“Mimi nawashangaa sana baadhi ya waheshimiwa, wanajua tayari nimeolewa lakini wananitongoza, mimi siwezi,” alisema Aunt bila kuwataja majina wazito hao Akaongeza: “Mume wangu akisikia napata usumbufu kutoka kwa watu wazito, hawezi kuwa na amani, bado naipenda ndoa yangu na kuachana na Sunday wangu ni ndoto.”
Mwishoni mwa mwaka jana, Aunt alifunga ndoa na mfanyabiashara Sunday Dimonte, Dubai na mpaka sasa wanaishi kama mke na mume
Acha ukiritimba we dada.
ReplyDeleteUliowagawia penzi mbona huwasemi,unaona utangaze uliowakataa,we vipi?
Hahahaaa mumeo kicheche so unahofu arakubwaga unajizushia hivyo ili ajue bado unasoko? Kaoge....
ReplyDeleteKwa kitu gani kipya ulichonacho we changudoa? Usitake kujipandiha chati bure kumbe wa bei rahisi tu malaya mmoja wee.
ReplyDeleteNa wewe ni kama domo tu, huna lolote!
ReplyDeleteHuna mpango wee malaya tu‼ utongozwe na nani we malaya! huyo aliekuowa nae malaya kama wewe tu! nenda kalime mihogo Oko!
ReplyDeleteHuna mpango wee malaya tu‼ utongozwe na nani we malaya! huyo aliekuowa nae malaya kama wewe tu! nenda kalime mihogo Oko!
ReplyDeletewasanii wengine bwana!! wakiona umaarufu unashuka anatafuta namna ya ku recharge kama vocha vile. ila kwa hili umekosea kununua vocha fake. Jinsi tunavyokujua sio mtu wakumkataa mbunge wewe, hata diwani. Danganya wasanii wenzako
ReplyDeleteSi ulizoea kuwapa labda walinogewa dudu yako tamu, wape acha kuwabania
ReplyDeleteYaap kazi ipo hapo! Thithemi kituu!!!!
ReplyDeleteJust fyt fo ur marriage aunty majaribu yapo
ReplyDeleteN t doesnt mata hata wakiku judge vibaya kisa past lyf yako dont lissten forget focus on ur future na mmeo
Tena think of building a stroonger relationship ikiwezekana leta mtoto kwenye familiao uongeze faraja
Yale yale tu domo,hivi ninyi wasanii mmerogwa?acha uongo wewe ugawe utamu kwa wasanii wenzio leo umkatae mbunge una udole?jipangeeeee
ReplyDeletekuwa makini na ndoa yako
ReplyDelete