Mapenzi kati ya hawa wawili sasa yanaonekana live live kupitia BBM na hata kwa washikaji wa Karibu japo mapenzi yalianza hata kabla ya Kajala kwenda jela....Kijana Huyo anajulikana kwa jina la Petit Man ....na ni mmoja wa Wafanyakazi wa Endless Fame Kampuni ya Wema ...Hongera kwao Jamani
Picha hii Akiwa na Boss wake Wema Sepetu .....Nice One
Baada ya Kajala Kutoka Jela Mapenzi yake na Petit Man yawa Live live
4
April 15, 2013
Tags
Kwaiyo mapenz na aliyemwacha jela yamekufa eeeh?? Hakuna uvumilivu duh madem wa cku iz uaminifu zero
ReplyDeletesasa na huyu jamaa aliekuwa anasafisha nae pesa chafu?????? je walikuwa wameoana??? kwanza tujue tusilaumu tu,
ReplyDeletemmmh hapo kuna k2 coz mchiz mfanyakaz wa wema af yeye ndo alicmamia show yote mpk kajala katoka???
ReplyDeleteKuna bendi iliwahi kuimba nafikiri (Mlimani park)Hivi unayosema ni kweli mama X2...niliuza nyumba o lela sababu yako wewe olelaa . Sehemu ya pili: Hakimu aliponihukumu kwa utapeli wangu o mama ulitoa kauli hunitaki tena......
ReplyDelete