Chidi Benz azungumza kilio chake, ‘natoa ngoma hazigongwi,no shows’
1
April 13, 2013
Leo hit-maker huyo wa Dar Standup amewasilisha kilio chake kupitia Twitter kama ifuatavyo:
Wasanii wengi waoga kutokana na hali halisi ya maisha waliyotoka,sio wa kuchekwa.wasanii wengi wanafiki koz hawajiamini kiuwezo binafsi.
Redio zina wasanii wanaowashikilia,Redio sio yako so eiza jiunge nao au achana nao.wengi sio wakali wanatengenezwa na wanahitaji hilo.Njaa
Natoa ngoma hazigongwi,no shwz,hakuna chcht but utaskia kapigana mgomvi habadiliki,mimi ambae nimefanya kazi na wasanii woote?nawapigaje?
Mimi ni msanii wa kwanza kukusanya wasanii wengi sehem moja,tulikua na nguvu na naenda nao kokote.wadau wakaogopa wanajua nina uwezo.wanajua
Credits:Bongo5
Ili kuendeleza muziki bongo inatakiwa segment ya kurequest ngoma itolewe ili ibaki chaguo kwa maDjz aaf tuone kama marapa vidampa watakuwepo.....inauma sana msanii kama chid kuto kusikika redion
ReplyDelete