Danguro la Wasanii Dar Lafichuliwa ni zaidi ya Sodoma na Gomora

Kampeni ya Fichua Maovu inayoendeshwa na Global Publishers inazidi kuibua mazito! Safari hii imefanikiwa kunasa danguro la ufuska linalodaiwa kutumia na wasanii chipukizi wa muziki na filamu za Kibongo ambalo ni zaidi ya yale yaliyotendeka enzi za Sodoma kabla ya dunia kuangamia, Risasi Jumamosi lina ripoti ya kushtua.

Kwa muda mrefu gazeti hili lilipokea malalamiko ya majirani katika nyumba moja iliyopo Temeke, jijini Dar es Salaam kuwa kuna danguro linalotumiwa na mabinti chini ya umri wa miaka 18 kwa ajili ya kuchuuza miili yao kwa wanaume huku baadhi wakiwa ni wasanii chipukizi wa filamu na muziki wanaohangaika kutoka kisanaa.
Habari Kamili Ipo Katika Gazeti la Risasi la Global Publisher...

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nliona hii video clip!!DUUH!!!!

    ReplyDelete
  2. wadada mkumbukeni MUUMBA WENU,,mnafurahia kuitwa nyinyi nd sodoma na gomora..badilikeni bado nafasi ipo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad