KAMA USHAMBA NI SOMO BASI MFANO NI HUU HAPA!!!
USHAMBA. Binafsi namshabikia sana huyu Msanii but I cant take it anymore!, Awali ya yote tuelewe kwamba kumdhalilisha mwanamke yeyote na kwa namna yoyote ni sawa na kumdhalilisha mama yako mzazi!,
Mambo ya kuanza kurekodiana kwenye maongezi yaliyo private na kuyasambaza binafsi naona ni kuvuka mipaka na Ushamba uliopitiliza,
DIAMOND unaimba nyimbo nzuri za mapenzi lakini sasa una-prove Ushamba juu ya Mapenzi yenyewe,kifupi hakuna mtu anayekulazimisha uwe na mrembo gani kimapenzi kwani wewe ni mtu mzima maliza wanawake wote duniani ikiwezekana tembea mpaka na Mamba wa kwenye Mabwawa,hiyo ni hiari yako, ila unapopeleka hewani sauti ya maongezi private na wema aidha kwa kutafuta kuongeza umaarufu,this is rubbish!!!,
Kwa haraka haraka ukimsoma diamond unagundua kuwa ni wale wanaume ambao hawakuwahi kubahatika kupendwa na wanawake wazuri,sasa wanapokuja kushika pesa au umaarufu ndio inakuwa siraha yao ku prove kwenye jamii kwamba hata nao wanaweza.
Yaani Diamond kushobokewa na madem wazuri kwake ni kama ngekewa ndiomaana anaingia kichwa kichwa.
PENNY usisahau kwamba huyu wema alikuwa rafiki yako na ukamchukulia Bwana,tena bwana mwenyewe ni huyu mtoto wa kiswazi ambaye Mapenzi yanampeleka puta!,anayedhihirisha ulimbukeni wake kwenye jamii.
Leo kwa ushirikiano wako na Diamond umemuanika msichana mwenzako kumdhalilisha,ok tia maji kichwa chako hii ni Bongo soon utanyolewa na tutaandika hapa hapa.
WEMA, Sasa ukae chini ujifunze kwamba mitoto ya Kiswazi mingi milimbukeni,wewe ni binadamu na hujakamilika basi jaribu kujikamilisha kwa kupunguza makosa,sina maana ya kwamba nakutetea wewe bali binafsi sipendezwi na KUDHALILISHWA KWA MWANAMKE YEYOTE!
KIOO CHA JAMII : Hapa hakuna kioo,ni heri kuzamisha sura kwenye tundu la choo ukiamini kwamba utaiona taswira yako kuliko kuwapa dhamana wasanii malimbukeni.
Credit: Sheria ni Msumeno
Kweli dogo mshamba alaf limbukeni yeye anataka aonje kila dem ngoja afe na miwaya
ReplyDeleteDiamond ni zaidi ya mshamba,yani ana ubongo kama wa konokono
ReplyDeleteDogo ni bonge la K.........,wauswazi uswazi ataangukia pua muda si mrefu wakuja huyo wenyeji mshikisheni ukuta siku.
ReplyDeleteDiamond is very ridiculous man coz the witticism guy awezi aka fanya usenge???
ReplyDeleteSikumpenda Diamond cku zote baada ya kuanza kuwachezea madem, mwanzo nilidhani anatafuta promo tu ili akuze nyota na kweli ikawa hivyo, anauza sura vizuri tu nowdays, lakini ndugu zangu kinachonishangaza mm ni kwamba hv kwa nn cc tunaojadili humu tunauelewa huo na sio wahusika wenyewe yaani Wema, Joketi, uwoya, penny ambao wote kwa wakati mmoja wamewahi kuwa marafiki , kakini wanakubali kupigwa miti na mswazi na wakischika kama Wema bado wanajigongagonga kila cku? Nadhani na wao ni wasenge tu acha wadhalilishwe. Kama wanafata utamu kwa diamond why dont they shutup their fucken mouth wanapoumbuliwa na diamond afterall wamemchokoza wenyewe? Mara ngapi wema kadhalilishwa bado anapiga cm za nn? She is so stupid also.
ReplyDeleteya ukweli hayo
ReplyDeleteahhhhhhhhhhhh diamond ni kuuuuuuuuma 2 xa ndo uxeng gan kafany ila na hao madem wapuuz tu thn hamna hata anayemjua mungu maan wacngewez fanyiana hayomambo
ReplyDeleteMtoto wa kiswazi huyo, but muache iko sku na yy atadhalilishwa kama alivyofanya, as long as what goose around comes around, I don't have any doubt about that, then hiyo inaonesha ni kiasi gani elimu ya darasani ina umuhimu gani katika maisha ya binadamu, hasa mambulula kama huyo!!!!!
ReplyDeleteMAONI YANGU NI : NAOMBA WA KAKA WA SIKU HIZI, MUJIKAZE MUPATIYE WA DADA HESHIMA. HAO HAO DO WA MAMA ZETU, DO WA MADAME ZETU ZETU. NAONA BAADA YA MUNGU NI HAO MA DADA DO WANA FWATIYA. KWA HIYO TUWAHISHIMU NA KUWAPENDA. ( UKIPATA KIPYA USITUPE YAZAMANI PLZ. )
ReplyDeletehana mwisho mema huyu dogo.. simmaond ile mbaya.. siku zake zakufa hazifiki tu
ReplyDeleteSISI WAZEE WA SIKU ZILE , TULIWAITA WATU KAMA HUYU DIAMOND "WATINDIGA"MSHIKAJI MSHAMBAA KUPITILIZAAAA! ITS TRUE ENZI AHI AKIWA MAJALALA HAKUWI KUPENDWA NA MADEMU WA MITAAA MIREFU,"VIFAA"NDO MANA!
ReplyDeletedogo analazimisha umaarufu. mmesahau ni juzi kampeleka dada wa watu hotelini (Uwoya) kumbe kaseti watu wake wapige picha ili auze habari.
ReplyDelete( Diomond)Ni mlugalugaaaaaaaa!!!
ReplyDeleteWema anajini Mahaba!!!
Kazi kwelikweli!!!!
Penny _(pencel)ana pepo wa Ngono!
Uyowa Airiniiii cha wote anagawa kama pipi!
Kweli pesa ndio kila kitu Diomond amshukuru mganga wake kamtoa uswazi!!!
Ushauri wa bure kwako masibu punguza ulugaluga kama huwezi kabisa kuacha!!Wema una mikosi na wanaume kasafishe nyota sio burr,Uyowa Airiniii mrudie mungu wako unatia aibu familia yako,na wewe peny au penceli tia kichwa maji subiri muda
ufike na uzidi kumuonba mungu mganga wako wa kimanzi adumu milele,vinginevyo diomond atakuumbua wema cha mtoto.
Mi namwita kilaza wa Mapenzi.
ReplyDeletekuna ki2 huwa sikipendi kama m2 ku2mia hali fulani kujitetea.Mfano,kweli Diamond amefanya kosa lakini msikimbilie eti amemdhalilisha mwanamke na ni sawa amemdhalilisha mama yake.Nadhani kila binadamu anastahili kuheshimiwa bila kujali jinsi,kabila,dini,rangi au nchi anayotokea
ReplyDeleteDOMO anamambo!!
ReplyDeleteDiamond ni kiazi,dawa yake atafutie basha wa kumparuza
ReplyDelete