Diamond Platnumz Atoa Machungu Kwa Serekali Kushindwa Kutambua Mchango wao
2
April 11, 2013
Diamond aonesha machungu aliyonayo kwa serikali kwa kushindwa kutambua mchango wao na kudai wanatumiwa wakati wa kampeni za viongozi lakini baada ya kufanikiwa na walichukuwa wakikitaka wanawasahau wasanii..
hiki ndicho alichokiandika kupitia instagram
"Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia Wasanii kwenye Kampeni zao kwa Maslahi yao Binafsi, kisha wanatu Damp Baada ya kufanikiwa kwenye Uchaguzi wao, bila kujali Thamani na Mchango wetu kwao..
Tags
kwani hela anzo honga magari kwa madem zinatokana na nn mbona anaongea asichokijua yeye anasema hvyo alafu msanii kama rama d na wengine wasemeje au ndo ana leta dharau ?????
ReplyDeletewe Geofrey nadhani hata huelewi unachosema wewe, kuna uhusiano gani wa magari anayohonga na serikali kushindwa kushughulikia miito ya simu yenye nyimbo za wasanii ili msanii husika afaidi kazi yake? njia za mapato ni nyingi kwa wasanii kama vile kufanya shoo, matangazo nk lakini haijalishi usiseme kwenye kipengere cha ring tone, nashauri kutochangia kama huelewi maada manake siyo lazima
ReplyDelete