Diamond na Wema Sepetu will always make headlines. Wakati issue ya Irene Uwoya haijaisha, leo limeibuka jingine. Ni baada ya Wema Sepetu jana usiku kumpigia simu Diamond ambaye wakati huo alikuwa amepumzika na mwandani wake wa sasa, Penniel Mungilwa na wapenzi hao kumrekodi. Maongezi hayo yamerushwa kwenye You Heard ya Clouds FM.
Insider mmoja ameiambia Bongo5 kuwa Wema alimpigia simu Diamond akimwambia kuwa anataka usiku huo aende kwake lakini Diamond akamwambia hayupo kwake na yupo nyumbani kwa Penny. Insider huyo amesema Wema alimwambia Diamond kama vipi yeye (Diamond) ndio aende nyumbani kwa Wema usiku huo. Hata Diamond alikataa kwa kusisitiza kuwa anampenda Penny na hawezi kuwa tena na Wema.
Hivi ndivyo maongezi hayo yaliyoifikia You Heard, yalivyokuwa:
Diamond; Mimi sikufanyii drama yoyote, I’m in love with Penny na wewe unaijua hivyo
Wema: Yeah you are in love with Penny and I…
Diamond: Sipendizewi kwasababu mwishi wa siku itakuja kuleta matatizo, drama, SITAKI
Penny anaichukua simu: anasema Hallo, we want to sleep now mammy, wacha si tulale
Wema: Uko poa?
Penny: Niko poa mammy, can u let us sleep now? Si hatutaki matatizo, na wewe usitake matatizo na sisi let’s just live one happy life.
Wema: You know me I don’t want trouble.
Penny: Yeah but you always wanna cause trouble Wema, you always , when did you ever want something peaceful? When? I mean when he (Diamond) says he is in love with me I don’t know, for some reasons I expect you to respect that because all you have done is bringing us trouble, seriously and all these things you do they tell us kwamba wewe ndio unafanya.
Maongezi ya mwisho hayasikiki vizuri sana lakini inaonesha Wema alikata simu.
Mwandaaji wa You Heard, Soudy Brown alimpigia simu kumwambia kuhusu kipande hicho cha maongezi kilichorekodiwa na hivi ndivyo alivyosema:
Wema: Nimeambiwa lakini sikujua itakuwa this big, kama wananichokoa hapa apate kick wanaona kwamba hawana kick then that’s something else unajua eeh,.kick wazitafute sehemu nyingine sio kwa Wema Sepetu. Sawa mimi najijua, me I am a star, I am star like all over Tanzania hakuna star kama mimi kwahiyo kama wanaona wanaweza kupata kick kutokana na mimi star because they are looking for name they are fucked up. Sitaki kuanza kuchokonolewa chokonolewa kuanza kuetengenza sijui vitu gani nimekaa tu kimya, mimi nimesikia sijui BBM sijui nini i’m just quite okay sijafanya chochote
Soudy: Bado unampenda Diamond?
Wema: Hapana siwezi kumpenda wewe!
Soudy: Kumtamani?
Wema: Siwezi
Soudy: Kwanini?
Wema: Sasa wa kazi gani kwasababu mimi nimeshakuwa na Diamond it’s done, haikuwa riziki kila mtu ameenda na mambo yake, kaendelea na maisha yangu na mimi nimeendelea na maisha yangu, I am very very happy where I am.
Sikiliza hapa:
------------
Credits:Bongo5
Drama: Wema Sepetu Alibembeleza Penzi la Diamond kwa Simu, Maongezi Yarekodiwa, Penny Ampa Madongo
26
April 17, 2013
Tags
patam hapa
ReplyDeletehabari zako za kucopy..
ReplyDeletemngeeka audio 2ckie..2amin frexh..
ReplyDeletejamani jamani, HUYO Penny jamani anyamaze tu maisha kwa zamu jamani. DIAMOND MWENYEWE HAELEWEKI HUYO. usichokonoae na wanawake wenzako kisa kidume jamani.
ReplyDeletePlatnum atakae jilengesha we fanya yako!, pitia wote wanaojidai wajanja!, big up diamond..
DeletePenny hana tatizo hapo, huyo wema kazidi mtu kasha sema hakutaki bado unamfuatilia mpaka una dhalilishwa vibaya namna hiyo. hata Dimond aje kumuacha penny wataunganishwa na mtoto ajae labda afe, alichokosea wema ni kuto kuzaa nae kama ange zaa saa hizi angekua na jeuri na yeye
ReplyDeleteIs not fear at all!!
ReplyDeleteteh teh nae huyu chai jaba mnampaje bchwa khaaaa
ReplyDeleteWema waha mung'ang'ania mtu ambae hakutaki.
ReplyDeleteWema na yeye wacha ya mkute ndio malipo ya kumpeleka mama yake police.. Mungu kamlipa
ReplyDeletehuyo
ReplyDeletechai jaba hana lolote,hata kama ni kweli kulikuwa kuna haja gan au
amepata faida gan huyo bwege na fala,na hicho kimalaya chake kinaona
kimepataaaa,kisubr siku yake ya kulia kama mbwa mdomo juu
Cku Zote Maawara Awaachan Yani Apo Xawa xawa na muwamba ngoma kila m2 atawambia upande wake...Hkuna m2 ambaye antaka kujixhuxha 7bb wote Maxtaa Wpenz watabaki kuwa wapenz 2 ata kama wameachana...Miili yao ndo ipo mbali Lakin Mioyo yao bado ipo kalib....!!!
ReplyDeletehuyo chai jaba wala hana kitu chochot na asitafute ustar kupitia wema, wema alikuwa mpenzi wake sasa sababu ya kumrecod na kusambaza mitandaoni ninini? wema we tulia huo ni upepo tu utapita then life must go on.na huyo peny kajisahau anona kafika sana wakati hata ndoa hana na huyo anyesema mtoto atawaunganisha nani kwa MWANUME MALAYA KAMA CHAIJABA MTOTO CYO INSHU KWAKE NAKUONEA HURUMA MAMDOGO KAJIPANGE UPYA MTI ULIOEGEMEA SIO MTI BALI NI MPAPAI
ReplyDeleteJamani diamond anataka kutuulia wema wetu ka noniii alivotuulia kanumba wetu. God forbid
ReplyDeleteJamani diamond anataka kutuulia wema wetu ka noniii alivotuulia kanumba wetu. God forbid
ReplyDeleteDiamond i always respect you n' your Job, ila kwa hili umeniboa sana man umemkosea sana Ms Wema kiukweli, kama umefanya kweli hivi basi Mburula bin Kilaza!!
ReplyDeleteDiamond alicho kifanya sio kizuri na huyo penny ni mwanamke tu sio mke wa diamond paka amjibu mwenzake hovyo mimi naona diamond na penny wote bado watoto its puppy love wat dere having now and penny know dat wat goes up must cum down. Wema my darling just be strong just do ur things forget abt them dey say if u talk to a fool u look like one of dem so dont put ur slf in dere class
ReplyDeletediamond ni picha kubwa international,north america twakufagilia lakini babu hapo umekosea sana ,usijivunjie heshima kwa kazi zako nzuri kwa kutaka sifa ,kumridhisha mwanamke coz at the end of the day ni wewe na career yako.wacha ushamba babu ,kama imetoka kwako na wema be a gentleman usiwe na tabia za kitumwa grow up man.
ReplyDeletemwanume wa ukweli uwez rekodi sauti demu wako wa zaman mimi najua kadri unavyokuwa ndio mambo ya kitoto yanaisha kumbe sio 4real diamond bado unampenda wema ila basi
ReplyDeletekwa hilo umeniboa huna jipya tena diamond bora utulie unazid kujiaibisha mwanaume gan usiyekuwa na akili.tk cr men
ReplyDeletemzushi malaya tu!ukimwi unamsubiri.
ReplyDeletethis guy aint for real. toka lini mwanaume kweli kafanya mambo hayo... wewe kweli snith
ReplyDeleteKiukweli wema na diamond wanapendana hizo zote ni ishara ila brother umebore sana na huyo dem uliyenae najua one day atakuja kujuta hapo najua anamtunzia wema tu.cku zote wagombanao ndio wapatanao kwanza namsifu wema ameweza kuvunja ukimya nakueleza hisia zake kwa diamond sema diamond cyo mwelewa.usijali wema mdg wng vumilia isikuvunje moyo mpk ujione hufai.pole mumy ila sali sana cku moja utakiwa happy
ReplyDeletekiukweli Wema na Nasibu wanapenda kutoka mioyoni mwao kwahiyo basi penny ajiandae,asifikiri kafika
ReplyDeleteMimi ni mmoja wa watu ambaye nilikuwa simpendi Diamond but ukweli ni kitu kizuri. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kwanini mnasikiliza hadithi upande mmoja? Yes Diamond ametembea na akina Jokate, akina nanihiii, na maybe akina Uwoya! But when Diamond was with Wema alikuwa akimpenda Wema! According to habari tulizozisikia WEMA ndio alikuwa na mapedejeee wa kumuweka mjini ! Sio ata mmoja! Afadhali ingekuwa hivyo! Je kama wewe ni mwanaume na unatombewa dem wako ungejisikiaje? Na kama wewe ni mwanamke na mwanamke wa kaka yako anafanya hivyo ungejiskiaje? Both wanawake na wanaume wengi wanaoumizwa wanaamua kuwa malaya au kutokuwakwenye mahusiano kabisa! Psychology inaonyesha hivyo! Wengine wanaenda mbali na ata kuamua kutembea na jinsia moja! Sababu hamjaona ushahidi wowote wa Wema ni kwasababu anatembea na watu wakubwa kwahiyo kupata picture si rahisi! Mnafikiri nyumba ya million 400, AUDI Q7 , Shopping spree za Dubai, na kuendelea vinatoka wapi? Sanaa ya Tanzania halipi hivyo. Ukweli ni kwamba neither Wema nor Diamond is innocent! Waombane msamaha na kila mtu aendelee na maisha yake! Diamond aendelee na Penny na Wema aendelee na whoever is in her life! Mapenzi ya kuumizana sio mazuri! Pia kuna Magonjwa Mengi.
ReplyDeleteHuyu mtu aliyeandika ujumbe hapo juu ni mkweli! Ni bora kuwa mkweli na shabiki na sio shabiki tu peke yake! Wewe Diamond usiwe mshenzi hivyo eti kwasababu ya matendo ya Wema! Na wewe Wema hebu tulia. Hii dunia ina mambo mengi!
ReplyDelete