Jana mchana, mtandao wa chuo kikuu cha Dar es salaam uliingiliwa na mahackers na kujazwa matangazo ya ngono.....
Matangazo hayo machafu yalikuwa yamewekwa Chini ya picha ya mkandala kwenye welcoming note ya vice chancelor......
MWONEKANO WA JANA MCHANA
