Jokate na Penny wazungumzia tetesi za uhusiano kati ya Diamond na Irene Uwoya


Katika muda ambao kila mmoja alikuwa amejaribu kuamini kuwa Diamond Platnumz ameamua kutulia na mpenzi mmoja, mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa, hivi karibuni  staa huyo ameanzisha uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu Irene Uwoya.....

Magazeti ya udaku nchini yaliandika habari hiyo ikiwa na picha inazowaoenesha mastaa hao wakichukua chumba kwenye hoteli ambako  walienda kufanya yao.

Kufuatia tetesi hizo, mwandishi wetu amezungumza na mpenzi wa sasa wa Diamond, Penny ambaye amesema kwa ufupi kuwa wameshayazungumza na Diamond na wako vizuri kwa sasa lakini akasisitiza kuwa asingependa kuliongelea zaidi suala hilo.

Katia hatua nyingine, Jokate Mwegelo aliyewahi kuwa na uhusiano na Diamond amekanusha  taarifa iliyoandikwa na gazeti moja la udaku kuwa amemcheka Irene kwa kunaswa kwenye himaya ya Diamond.


Mimi hivyo vitu havinihusu na wanapenda kupata quotes zangu pasipo hitajika. I don’t know why? I don’t why wanatafuta story. That’s their life kiukweli with whatever they choose to do, more power to them"Jokate
Source:Bongo5

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wote nawaona ni limbukeni!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. kaa hata kama wahenga wanasema ulichopewa na mungu kumnyima mwenzio dhambi.hii sasa ni kero..hv we kijana utakua lini?mara wema,joketi,aunt ezekiely,naj sasa uwoya,uliambiwa ukifanya sana unapata sawabu???????

    ReplyDelete
  3. hayo ndo ma2miz yake yapesa na usuperster..

    ReplyDelete
  4. Big up diamond platnum. Yan we wamliz wakijilengesh

    ReplyDelete
  5. Big up diamond platnum. Yan we wamliz wakijilengesh

    ReplyDelete
  6. ARVs zngepigwa stop hata kwa miaka 3 hv watu wajitambue kdg manake dunia inaenda pabaya khaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad