Spika wa Bunge ana Makinda amehalalisha maamuzi ya Ndugai ya Kuwasimamisha Lissu na wenzake wakae nje ya Bunge kwa siku 5.
Katika hukumu hiyo, Spika amesema japokuwa hakuna kifungu kilichovunjwa lakini kuna kifungu kinachosema kama hakuna kifungu cha kanuni kiti cha spika kinaweza kufanya uamuzi na uamuzi huo ukaingizwa katika kanuni na kuanza kutekelezwa kuanzia siku hiyo.
Hivyo, adhabu ya kukaa nje kwa siku 5 ni halali na itatumika kuanzia sasa kwa wabugne wengine watakaofanya vitendo vitakavyofanana hivyo mbele ya safari.
My take,
Kwa staili hii, 2015 ni mbali sana.
huyo bi kiroboto ana hakili za kushikiwa
ReplyDelete