Kutoka Bungeni: Mbunge aomba Bangi iruhusiwe kulimwa!
5
April 14, 2013
Akiuliza swali la nyongeza, Mh. Ali Keisy Mohamed (CCM) amesema tumbaku ina madhara mengi lakini serikali bado inalitambua kama zao la biashara, ameuliza kwanini serikali sasa isipeleke nguvu kwenye bangi kwani kuna sehemu inaruhusiwa
- Naibu Waziri wa kilimo Adam Malima alisema serikali itaangalia uwezekano wa kuihalalisha bangi ili iweze kuliongezea taifa kipato kama ilivyo kwa sigara ingawa ina madhara kiafya
mimi siungi hoja mkono
ReplyDeleteDahh kweliii sirikali si mchezo BBAAAANGIIIIIIII DUHHHHHH
ReplyDelete**Chezea Serikali ya JK wee**
ReplyDeleteDah! itakuwa safi bangi ikehalalishwa!
ReplyDeleteDah! itakuwa safi bangi ikehalalishwa!
ReplyDelete