Kuwa wa Kwanza Kuusikiliza Wimbo mpya wa Diamond unaitwa Mapenzi Basi


Baada ya kutamba na kufanya vizuri sana na ngoma yake ya Kesho alioifanya kwa Marco Chali, sasa msanii Diamond ameamua kuachia ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la ''MAPENZI BASI''.
MAPENZI BASI ameifanyia ndani ya Studio za AM Records chini ya Producer Maneck.
Be the first one kuisikiliza ngoma hii hapa chini :
Click Hapa Kuusiliza Ama Kudownload

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad