Kwanini Serukamba Hakutolewa Bungeni?


Nyerere: "waswahili wana mambo ya ajabu. mambo ya kijinga jinga yakisemwa kwa kiingereza, wanashangilia kana kwamba ni mambo mema"

Hayo ni baadhi ya maneno aliyoyasema baba wa taifa Mwl Julius K. Nyerere katika moja ya hotuba zake.
Tusi alilolitoa Serukamba ndio tusi kubwa kuliko yote yaliyowahi kutolewa bungeni mpaka sasa. Tofauti na mengine yeye lake amelitoa kwa kiingereza kiasi kwamba naibu spika ameliona ni jema hivyo kutomchukulia hatua yoyote.

Hata majadiliano yanayoendelea sasa miongoni mwa wananchi na viongozi ni kuhusu "utovu wa nidhamu" wa Tundu Lissu wa kuomba miongozo na taarifa kila mara hivyo kutimuliwa bungeni na wenzake waliokuwa wakipinga kitendo cha naibu spika kumtoa nje. Hili la Serukamba halizungumzwi kama ni tusi kuu bungeni.

Tatizo ni kama alivyosema Nyerere, katukana kwa kiingereza hivyo spika na naibu wake hawaoni kuwa ni tusi. Waziri mkuu haoni kuwa ni tusi. Aibu!

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aibu aibu uo ni ukilitimba

    ReplyDelete
  2. FUCK YOU'' HILI NI TUSI AMBALO MM NAONA NI LA KARINE LKN HUYU MTU HAKUCHUKULIWA HATUA YEYOTE,LINGINE NI LILE LAKUSEMA ''SIONGEI NA MBWA NAONGEA NA MWENYE MBWA''

    ReplyDelete
  3. FUCK YOU'' HILI NI TUSI AMBALO MM NAONA NI LA KARINE LKN HUYU MTU HAKUCHUKULIWA HATUA YEYOTE,LINGINE NI LILE LAKUSEMA ''SIONGEI NA MBWA NAONGEA NA MWENYE MBWA''

    ReplyDelete
  4. HILO NI TUSI LAKINI ALIOMBA MSAMAHA CHADEMA UBABE HAWAOMBI MSAMAHA WANAFUNDISHA WANAFUNZI NINI JE WANAFUNZI WAKIGOMA KUTOKA DARASANI WANAPOFANYA FUJO WAKISEMA MBONA WABUNGE WALIKATAA KUTOKA BUNGENI WAALIMU TUFANYEJE HUWEZI UKAPANDA BANGI UKAVUNA MAHARAGE HAYA TUNAYOPANDA NI MCHAKATO NI SAWA NA MAISHA YA MTETEA [KUKU] ANATETEA,ANATAGA,ANATAMIA,ANAANGUA NA KISHA KULEA VIFARANGA ,WATANZANIA VIFARANGA VILIVYOANGULIWA NI MMOMONYOKO MKUBWA WA MAADILI YA VIJANA WETU VIJANA HAWAONYWI WANATUKANA WAZAZI ETI NI UTANDAWAZI,WAZEE WANAANGALIA NINI WATAACHA MBONA MIHADHARA YA DINI ILIPOANZA NA KUPUUZWA KUWA ITAISHA MBONA HAIKUISHA LEO WATU WANAUANA TUNACHOPANDA BUNGENI LEO MATOKEO YAKE WENGI WALIOKO BUNGENI WATAKUWA HAWAPO IWAPO HAWATAKUWA KWENYE VITI VYA UVIVU WATAKUWA MAKABURINI SI VEMA TUWARITHISHE WENETU NA WAJUKUU NCHI KAMA SOMALIA ,IRAQ NA SYRIA

    ReplyDelete
  5. ingekuwa chadema wametukana hivyo lo ingekuwa mengine sasa kwa kuwa ni mbunge ccm ni sawa tu huu upendeleo na uonevu mpaka lini kitaeleweka tu you like or not

    ReplyDelete
  6. Ni wakati wa unabii! Yote hayana kizuizi kutokea! Ee! BWANA tunusuru na matokeo ya nabii zako!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad