Ladies:Check Imalaika Collections
0
April 22, 2013
".Tupo k.nyama...nyuma ya break point,geti letu lipo opposite na transformer,pia unaweza fika kwa njia hii: kama unatoka mataa ya sayansi,unakuja na hii barabara ya Tandale,utaona barabara ya kwanza ya vumbi upande wa kushoto kuna kibao cha MMK..(kuna kituo cha bajaj hapo) njoo na hiyo barabara upande wa kushoto tupo geti la pili....
na tunafungua jumapili hii kuanzia saa4 asubuhi...
Katikati ya week hatupo..
For more information contact me on
0656324811
Mambo ni mazuri sana,usisahau kumwambia na mwenzako..karibu Sana !" Imalaika
------------------------------------------------------------------------
Facebook Fan Page ya Imalaika ni : https://www.facebook.com/imalaikaworld