Lissu, Msigwa, Wenje, Kiwia wafungiwa kuhudhuria Vikao vya Bunge!
1
April 18, 2013
Ni wabunge machachari wa CHADEMA kuwa mwiba mkali kwa CCM hapo jana na kuzua tafrani hasa pale naibu spika wa Bunge kuamuru Mbunge wa Singida Mashariki mh. Tundu Lissu atolewe nje baada ya kuomba utaratibu wa spika wakati mbunge nchemba akiongea na naibu spika kukataa.
Na baadae kumhoji Lissu kwanini anasimama na anaongea sana na iweje awe yeye tu, na kumwamulu atolewe nje na kugoma ndipo maamuzi hayo yakatolewa na spika wa bunge.
Source: Nipashe.
Tags
HAWA WOTE WALIKOSA MALEZI YA BABA NA MAMA WALILELEWA NA BEKI TATU NA KUNYWESHWA MAZIWA YA UNGA KUWA MAADILI MABOVU HAKUNA HAJA YA KUWALAUMU ILA WATOTO WAO NA WAJUKUUWAO SIJUI WATAKUWA WA AINA GANI KIMAADILI SI AJABU WATOTO NA WAJUKUU ZAO WATADAI WAZALIWE MAPEMA WAKATI WAKIWA MIMBA YA MWEZI MMOJA WANAVYOFANYA HATA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI NDIO FASHENI WATAFELI MILELE SULUHISHO NI LABDA KUZIMU
ReplyDelete