Wema Sepetu anaonekana kuumizwa sana na kitendo cha Diamond kumrekodi wakati anajitongozesha kwake usiku alipokuwa na mpenzi wake Penny....
Walipomrekodi, waliisambaza clip hiyo mitandaoni na katika vituo kadhaa vya redio.....
Hii ni fedheha ambayo nadhani Wema Sepetu hataisahau maishani mwake ....
Maneno aliyoandika Haya Hapa:
Maskini Wema Sepetu Achoshwa na Skendo_Atoa Maneno Mazito
23
April 19, 2013
Tags
labda alitaka a2ringishie kuwa anatakwa na watoto wazuri wakat ni uxhamba amefanya...wema temana na huyo jamaa utapata maprexha bure..mwenye kicheche
ReplyDeleteBe strong sis it will pass, challenges make us strong don't give up, you will get through this
ReplyDeleteWema give thanks God for everything,i know it pain but is just challenge.please don't think too much.
ReplyDeleteTatizo lake ni kukosa washauri wema ana x-factor watu wa kaliba yak ni wachache duniani nashangaa anatafuta nini kwa huyo bwege aliyekosa radhi ya baba yake.asijishushe dogo kafika mwisho bi dada ajipange afanye yake..penny kaingia choo cha matahaira ajianda kupakwa haja.
ReplyDeleteMbwele uko sawa lakini tulekebishe kidogo, Wema hanamakosa yote, hayo ni mapenzi ambayo binti amejaaliwa, Wema amejaliwa kupenda( ni Binaadam) na kuthibitisha kwamba anapenda tatizo ni sehemu ambazo Wema anapenda( wrong choice) haijalishi umri, dada ajapata sehemu ya kupenda, lakini Sio mwisho wa dunia, mlango mmoja ukifungwa mwinine wafunguliwa,be strong,stay beautiful,be happy,be calm, work hard, ipo siku/sehemu ambayo wewe mwenyewe utafurahi na kusema dunia ndo hii siku zote nilikuwa wapi? (muhimu ni bidii tu) Good luck.
ReplyDeletewema achana kabisa na huyo diamond kwanza ni mswazi sana sio type yako kabisa mswaz mpaka kapitiliza yaani ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa hawezi kuelewa huyo mpotezee moja kwa moja usijaribu kua nae tena!
ReplyDeleteMy dear Wema, don't give up, and always remember, there is something called "KARMA"
ReplyDeleteSo the best thing to do is to have a seat,grab a cocktail, relax and let karma do its magic...cos karma never fails.
wema usibabaishe na mamburura wachukulie kama wasio jua maana ya mapenzi kuomba msamaha nikuonesha upendo wa dhati si kujishusha adi wakakudharau coz hawajui maana ya mapenzi.....nakukubali sana mama
ReplyDeleteHapana chezea Diamond Kigoma mwisho wa reli,Wema katembea kote lkn hajaona kama Diamond hata kama Diamond ni mbaya,mshamba lkn Wema kampenda hivyohivyo.mtasema mtachoka usiku mtalala.wewe ukiona chongo mwenzio anaona kengeza.
ReplyDeleteHayo n maneno tu wema hata kwenye kanga pull up to ashame da devil behind u
ReplyDeleteHayo n maneno tu wema hata kwenye kanga pull up to ashame da devil behind u
ReplyDeletesaizi yake nae wema kamburuza mama ake kituo cha polisi. diamond sahihi ulivofanya mana nae hana heshim... radhi za mama zinafanya kazi izo
ReplyDeleteTym heals
ReplyDeleteHata km uboya broo domo amezi,amesahau cc ndo wabongo tukiamua kukupotezea unapotea mazima,bi dada usiishi ukajuta hivyo nivimafanikio vidogo alivyolewa kaona muda muafa kufungua zipu but ipo cku atakumbuka ulipokua muhimili wake.keep it up cc* u'r beautiful enough
ReplyDeletewema jifanye mjinga kwa kumsahau uyo kilaza dmond. Fanya kazi zako kwan wee ni msichana mrembo na unauwezo wakutafuta mme bora kuliko bora mme. I thng unatakiwa uwe na msimamo 2 kuliko kuchukua uamuzi wa ajabu namna iyo mdada.
ReplyDeleteMimi binafsi naona tatizo lipo kwako Wema hasa sehemu unazopenda kumbuka siku zote mtu akiwa maarufu ni vigumu sana kujitoa kwako moja kwa moja so ushauri wangu ni kuwa jaribu kuonyesha mapenzi au kumtafuta mtu asiyekuwa maarufu naamini utafaidi sana penzi lake. Tatizo wasichana wengi wa mjini huamini kuwa bila pesa hakuna mapenzi NO sio kweli mapenzi ni kitu kingine na pesa ni kitu kingine. Huyo jamaa kwa sasa anatafuta pesa, umaarufu, na wanawake so ni vigumu sana kupata raha ya kweli kutoka kwake. Pole sana dada ila jaribu ushauri wangu utafanikiwa hasa ukimpata mtu mchamungu.
ReplyDeleteWema Bilieve me and take my Words....u will have this very same person u r crying for some days in the future,he will consider coming back sometimes when he realize that u are the only true love he ever came across.am almost fed up with most of your scandles but I can real see the truthflness of your love for him.
ReplyDeleteSAHAU YALIYOPITA MDADA MRUDIE MUNGU YOTE TAISHA,UNA MENGI YAKUTUFANYIA MAISHANI MWAKO WATANZANIA TUKAJIDAI,KUMBUKA WEWE NI MISS TZ KIOO CHA JAMII,
ReplyDelete"KUVUNJIKA KWA MWIKO SIYO MWISHO WA MAPISHI"
YUPO ATAKAE FUTA MACHOZI YAKO...
Wema you are strong u know that don't you? just forget about that Idiod, what does he think of him? so handsome or what, jst know that God has always been with you babe, forget about everything and live your life, bealive me you are so beautiful more than the girl he is with for now, God will give you a handsome men soon, keep on praying and don't ever doubt God's love for you, some people think that happiness is only for them but they are very wrong, happiness is for all, this world is not our home guys so lets not do to others things that we don't wish to be done to us, Let's live happily.
ReplyDeleteDo not doubt God's love for you Wema, the guy is so kilaza that's why, so stupidy actualy, anataka nae ajitape kuwa bado anapendwa na mrembo kama wewe, anajua fika kuwa wewe ni mrembo zaidi ya dem aliye nae kwa sasa, japo wanajishaua malofa hao, wana makomwe kama wamevaa capelo, achana nao mpenzi wangu, haya ni maisha tu ,akae akijua kuwa hatoishi milele na asitegemee kuwa watu watamkumbuka kwa huo uchafu wake anaoufanya, anafanya hivyo kwa kujaribu kuzima soo lake la kukutwa na changudoa mwenzake hotelini, achana nae mchafu huyo, hawezi kunukia hata akijipulizia mafyum za dunia nzima, hana urijali wala nini, mwanaume rijali ni yule anayejitambua na sio limbukeni kama yeye,
ReplyDeleteGod has loved you from the begining, he still loves you and he will always do Wema, wewe ni mtoto wa kiislam na unatakiwa kuwa na imani , siamini kama unaweza kulose hope and confidence jst because of that crazy bitch, you will always be a star, remember that u have been a star before him and his stupid girl, achana nao mama live your life to the fullest, fanya yako ukimtanguliza Mungu wako, aliyekuumba ni mmoja tu so hawawezi kukudhalilisha kwa hilo zaidi wanajidhalilisha wao wenyewe makomwe hao, wanadhani hao hawana kasoro? Dimond kwani hajawahi kukataliwa? kwa uhandsome gani alionao? madem aliowahi kuwatongoza nao wangemrekodi na kutoa hadharani si angeumbuka? ashukuru hivyo vijisenti vyake vinavyomfanya aonekane otherwise angebaki na uchokoraa wake, aache ushamba mtoto wa kiume, katika wanawake zake wote wewe ndio alitakiwa akuheshim kupita kiasi, ulimpenda kwa dhati na hukubabaika na jina lake, sio hao wanaojigonga kwake sasa hivi, kwani huyo Peni sijui penseli kampendea nini kama sio pesa zake? alost siku moja aone atakavyokimbiwa, PENY NA DIMOND ACHENI USHAMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
ReplyDeletenampenda wema, naamini watu wengi wanakupenda...hii inatosha...songa mbele
ReplyDeletewote mlio comment hakuna asiyejua maumivu ya mapenzi< wema na diamond walipendana sana tena sana, lakin ndo hivyo marafiki walio mzunguka ndo wamekua chachu ya yote, na mtu akipenda anaweza kuwa chizi ,wema na diamond waliachana wakiwa bado wanapendana, thtz why wema anajaribu kurudisha pendo lake kwa diamond ili wawe kama zamani, cha kumshauri wema piga magoti muombe mwenyezi Mungu, kama diamond ni wako atakuwa wako na kama c mwanaume wako wa maisha Mungu atakujibu na kukupatia mwanaume mwema atakayekupenda kwa dhati,na kukuheshimu na kukujali,vumilia mdogo wangu hata sisi ambao tupo ndani ya ndoa cha moto tunakiona tena tuna mazito zaidi ya kwako, sema tofauti iliyopo sisi c masuper star kama nyinyi, ndo maana hatusikiki, mwisho diamond hajafanya kitu kizuri ila naamini alifanya hivyo kwa ajili ya huyo baby wake mpya , ila awe makini sana hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho, ajaribu kujiheshimu.
ReplyDelete