Mkoa Gani Bongo Unaogoza kwa Wanawake Wenye Shape?

Mkoa Gani Bongo Unaogoza kwa Wanawake Wenye Shape?
Comment
---------

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa shape ni Arusha, kwa makalio ni Mwanza.

    ReplyDelete
  2. Makalio Moro-wapogolo, kwa shep ni wanyaruanda.

    ReplyDelete
  3. Fala we hapo juu. Wanyaruanda ni wa bongo?mfyuuuuuuu

    ReplyDelete
  4. Fala we hapo juu. Wanyaruanda ni wa bongo?mfyuuuuuuu

    ReplyDelete
  5. wahaya ndo nouma kwa shape za maana hapa bongo dsm.

    ReplyDelete
  6. Usibabaike na makalio marazi matupu hayo!

    ReplyDelete
  7. Usibabaike na makalio marazi matupu hayo!

    ReplyDelete
  8. Wanyakyusa ndo mpango

    ReplyDelete
  9. Nyoote Mmekosea mkoa unaongoza ni Kilimanjaro wanawake karibu wote wenye shepu mijini ukimhoji atakuambia Kilimanjaro

    ReplyDelete
  10. haha ha,kiukwel shepu ni mbeya na wahaya huko ,wengne wote wanaigza

    ReplyDelete
  11. wenye shepu ni wahaya,wanyakyusa,watabora,wasukuma,na baaladhi ya mikoa lakini hao nilio wataja ndio wanaongoza lakini nina swali ukiwa mwanaume unataka kuowa unataka mwanamke mzuri wa sura na shepu lakini tabia yake mbaya au mbaya wa sura na shepu lakini tabia yake nzuri?n.b hakuna mtu mbaya duniani watu wote ni sawa tumjaji mtu kwa tabia yake mbaya na sio sura au shepu yake maana hakuna aliyejiumba peke yake

    ReplyDelete
  12. hapo chacha,mjaji mtu kwa tabia sio umbileshape wala sura ama nyele manake ,hakuna alituma application kwamungu kuuagizia maumbile yake yaweje ok ,so natutulie tusimkufuru mwenyezimungu,mbona africa matatizo mengi hamuangazii kazi kuangazia ujinga shape ndo zitatusaidia na nini wakati mambo yaharibika .tumieni mitandao kuangazia mambo nyeti sio ufala sawa jama .

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad