Muonekano Mpya wa Lady Jay Dee




Leo Lady Jay Dee Amepost hizi picha katika Profile yake ya Facebook kuonesha muonekano wake mpya...Yeah to me She looks very Cute...What about you?

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwili uko sawa lakini sura kwa kweli ya kiume na hayo manywele ya bandia mhnn

    ReplyDelete
  2. mwili waweza badilisha ila sura aifanyaje mengine n kukufuru tu jaman ooooh tumwogope Allah bnadam sifia au km
    una chuki makusud ponda vilivyo ndan ya uwezo wa kbnadam

    ReplyDelete
  3. Huwez pingana na uumbaji WA mungu amependeza jaman.

    ReplyDelete
  4. Cjaona kipya, mwili wako ni km wa Asha Ngedere. Umekomaa mno kuanzia sura had viungo vyako vya mwili!

    ReplyDelete
  5. **Nafikiri ni Gadner pekee anaevutiwa na ww na nachelea kusema hata yeye huwenda alifata mkwanja tu na sio vinginevyo.. Dah We dem umekomaa sana bana**

    ReplyDelete
  6. Uko vizur xana dada jdee me nakukubal

    ReplyDelete
  7. mwrnzako atakuwa anapga tizi mwili ukaze vzr we uko hapo na mtambi wako wa mbege shauriyo utapoanza kuandamwa na magonjwa....nataman tunaokoment tungekuwa twaweka na pcha unaesema mwenzako kakomaa/m'baya kumbe we sura imekaza km goti la mjeda

    ReplyDelete
  8. inshort kwa uzuri sio mzuri kivle..lakin kwa upande wa wanawake waimbaji bongo me nakupa namba 1

    ReplyDelete
  9. kwa uhalisia unajitahidi dada, kumentain figa yako na kudhibiti maisha yako.japo cha pombe ila kazi hazigomi.

    ReplyDelete
  10. Halafu niaje Jide mbona huzai kulikoni? Gadner mpango hausomeki au ni ww ndio prob coz ni zaidi ya muongo ss mpo kwenye ndoa lkn bado bila bila.. Najua wameshakwambia ni jini mahaba ndie anakufanya usizae..lol

    ReplyDelete
  11. ï¼µna sura yakiume dada njoo japan ubadiswe suru hiyo yaani sura imekomaa kama yule mtu ambae hunywa konyagi kavikavi.

    ReplyDelete
  12. ï¼µna sura yakiume dada njoo japan ubadiswe suru hiyo yaani sura imekomaa kama yule mtu ambae hunywa konyagi kavikavi.

    ReplyDelete
  13. Asie umba aumbui u luk so gud!big up mkubwa hayo maneno 2 na wivu wa raia.

    ReplyDelete
  14. Tuseme yote ukweli kapendeza mengine tumwachie gadner anajua alichompendea

    ReplyDelete
  15. umependeza sana dada yng hao wananchi wano kuponda hawapendi maisha yk si unawajua wananchi hawapendi maendeleo ya mtu

    ReplyDelete
  16. mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe achana nao to me you look beautifull. hapa hawajasema jide ni mzuri au mbaya hapa kinachozungumziwa ni muonekono wake wa leo kwamba awe mbaya au mzuri je hajapendeza? kiukweli kapendeza acheni majungu binadamu

    ReplyDelete
  17. Maneno ya wakosaji siku zote jdayee yupo ju

    ReplyDelete
  18. U look great Judith. I love and envy ur athletic frame. Many women would kill to have ur body. Keep fit and health...and most of all keep inspiring other women to work hard and never give up on their dreams! God always answers beutifully:) Remain blessed

    ReplyDelete
  19. U look so nice jide! Na wewe ni kioo cha jamii ukweli, wengine ni vioo vya chooni tu. Keep it up jide!!

    ReplyDelete
  20. Honestly unabadilika nowdays...you are looking gud

    ReplyDelete
  21. U look z soo gud .jaman if u dont want 2 comment better be guite

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad