Mwenza wa Maisha (mume) Anahitajika!



Habari zenu wanajamii.
Jamani maisha ni safari ndefu na inahitaji uvumilivu na ujasiri. Nimetumia ujasiri wangu kwa kujitokeza katika jukwaa hili ili kuweza kupata mwenza ambae atakuwa mume kama Muumba akibariki. Kwa aliye na nia ya dhati haswa naomba tuwasiliane kwa private message.

Sifa zangu
Umri: Miaka 30
Umbo:Ni wa kawaida sana, na kwa wale wanopenda makalio makubwa, mimi sina jamani, ni bora kuwa mkweli!
Urefu: Centimeter158
Rangi: Maji ya maharage
Elimu: Degree mbili
Kazi: Muajiriwa wa serikali
Dini:Islam

Sifa za Mtarajiwa
Umbo: asiwe na kitambi kwa kweli
Urefu: itakuwa vyema kama akinizidi maana isije leta zahma
Rangi: yeyote
Elimu: Degree
Kazi: Ni muhim maana maisha ni magumu sana
Dini: Islam, ila uwe hujaoa!

Najua kunawatakoleta mzaha, ni kawaida sana kwenye jamii. Nipo tayari kwa maswali mtakayoyauliza. Karibuni!

Weka Sifa zako..Acha number ya Simu ama E-mail

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Miaka 30 huko kote ulikopita hukupata wa kukuoa mpaka ujitangaze? tatizo nyie wenye elimu mnadharau wanaume we unafikiri elimu ndo inayooa? subili ufikishe miaka 60 utampata kikongwe mwenzio.umechakachuliwa sana mpaka umekata ringi pole yako

    ReplyDelete
  2. huu ni uswahili we ulotoka kuchangia hwez jua nn kilimkuta mpk akachelewa kuolewa cha mcng km uko interested acha contacts zako km vp unapita tu hayo ya kukata ringi yanahuu?!?!?!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa hiyo wewe unaona yuko sawa kujitangaza mitandaoni,kama vp ajitangaze kwenye tv.

      Delete
  3. Umepotea km ulmtaka mwny degree ungemtafta huko huko chuo ulposoma na co uk,na kaa ukijua mapenz co elimu na km unataka elimu utaishia hvo hvo k2mika na kuachwa.

    ReplyDelete
  4. Emmanuel_christopher@hotmail.co.uk au emmanuelchristopher0@gmail.com

    ReplyDelete
  5. Hansenmtutuma@gmail.com/Hassanmtutu@yahoo.com

    ReplyDelete
  6. Umri huo huna hatawale uliocheza nao utoto?! Hata uliosoma nao?? Hadi ujinadi humu?mwanamke bidhaa adim haijinadi ww lazima unamatatizo....

    ReplyDelete
  7. **Mapenzi sio elimu sister bali utekelezaji wa majukumu ya kifamilia.. Km unasbiri mwenye degree nahofia utasubiri milele.. Madem design yenu mwisho huwa mnaolewa na mashamba boyz.. Jipange**

    ReplyDelete
  8. ï¼­imi sina elimu yoyote nmeishia form 4 lakin m/mungu ni mkubwa kusoma si kufaulu kimaisha nilikuwa naishi marekani taxas nimehama sasa naishi japan.mimi nimezikubali sifa zako na namba yangu ni +819016803408

    ReplyDelete
  9. kama kweli unatafuta mume alafu ukaweka vigezo vya elimu basi naofia wewe ni waku zeekea nyumbani kwenu maana miaka 30 umebakiza miaka 15 ufikie mwisho wakuweza kuzaa watoto jiangalie process isikuchukuwe miaka mitano ukabakiza 10.

    ReplyDelete
  10. ibrakamwe@yahoo.com nijibu chochote tuwasiliane. sifa zipo

    ReplyDelete
  11. ebwana kila kitu ni utandawazi. yaseme yaliyoujaza moyo wako ili uwe huru. Hakuna aliyelazimishwa kumchukua huyo dada, ni uamuzi wa apendaye kumchukua. Dada mi nakupa hongera kwa kufunguka, washauri na wenzio wanaoona so wafunguke.

    ReplyDelete
  12. we kweli hamnazo!!!
    Unataka kuolewa na dini au mtu?
    Halafu kama umebahatika kusoma unafikiri mapenzi hadi ufike chuo kikuu?
    Tumia akili yako sawasawa.
    We akija hata ambaye hakuenda shule akikupenda kwa dhati oana nae tu,maana kuna kipindi utamtafuta kama huyo hata usimpate,maana unaringia elimu yako.
    Je,unajua kama kuna kufa?ataichukua nani sasa elimu yako?
    Mtafute kwanza Mungu ili akupe maarifa.
    Mimi mbona sijaenda shule lakini naburuza wenye masters?na kingereza naongea vile vile.

    ReplyDelete
  13. M co muislam na nina diploma 2 but kama unahtaji ril love ncheki tu hapo keneth460@gmail.com utaangalia sifa ukiridhika nazo poa tu

    ReplyDelete
  14. nyie hamjui kwa nini diamond amefanya hili ilikuzima ile ishu ya yeye na uwoya iwe hii habari ya wema iweze kumake hardline yaani sasa amefurahi sana anajua habari yake ya kufumaniwa na mke wa mtu itasahaliki lakini pia siwezi kuhuku yeyote maana wao ndio wanajua ukwrli uko wapi maana woote kama wasanii tu

    ReplyDelete
  15. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  16. mm elimu yangu ni form 4 tu kama uko tayari nicheki na kama utaona elimu ndo mapenzi ya ukweli nyamaza kimya na usiongee tenaaaa!!!!!!.0655554503 usibipu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad