My Ex Anataka Nimwazime Hela!
6
April 17, 2013
Habarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na mambo yangu bila .kama tittle ijielezavyo,toka juz j2 my ex amenitext kuw anaomba nimwazime kiasi fulani cha hela,uwezo wa kumpa hel hyo ninao na japo hatukuachana kwa ugomvi but ctak kuendelea na mawasiliano naye.kanitumia text nyingi akidai nimsaidie cjajibu hata moja,toka jana ananipigia sim sipokei,je nafanya vibaya au nipo sahihi?
We pokea simu km vp muazima ilimradi hamjagombana.
ReplyDeleteMsaidie kama uwezo huo unao kama huna mwambie ukweli tu.
DeletePeres 0716213161
hamjaachana,unazuga watu bure.
ReplyDeletembona unatega watu?Suala la mapenzi halina ushauri mbona mlivyokutana mara ya kwanza ni siri yenu?
Kma unampiga chini basi iwe siri sio kujianika hapa mtandaoni we vp?
Hela ni yako kama humpi basi lawama hakunamaana unatakiwa kutumia chako jinsi utakavyo.
Kwa maelezo zaidi nibuzz hapa nikuchane +27780002725
**Mpaka anakutafuta ww ujue anashida kweli so pick up his fone and answer his sms kukaa kimya ni kuonyesha dharau na hujui msela anashida kubwa kiaje.. Kama upo na cash mpe kusaidiana haina maana ndio kurudisha mahusiano**
ReplyDeleteKi ukweeli usimpe cz ht mm nilishawahi fanya hivyo hakunilipa hela yangu zaidi tukaishia kugombana na matusi ya nguoni
ReplyDeletebhana X n X na abaki huko huko kukopeshana pesa ndo mnaanza mawasiliano ya karibu na mara nyingi hawalipi labda km wataka toa sadaka tu
ReplyDelete