Mimi nimeolewa miaka 15 sasa na tumejaaliwa watoto 4. Ndoa yetu ilipofikisha miaka 4-5 mume wangu alicheat, nikamkamata through sms akapinga sn lakini baadae alikubali akakiri kosa na kuomba msamaha. nikamsamehe
Tumeendelea kuishi na nilipopata mtoto wa tatu akanicheat tena, safari hii alikuwa nje ya nchi kimasomo, napo alikiri na kuomba msamaha, nikamsamehe
wakati niko mjamzito mimba ya mtoto wa nne alinicheat tena, kibaya zaidi alinicheat na house girl wng akampa ujauzito. kwa ivo wkt mimi nina mimba na House girl naye mjamzito(japo sikujua km house girl alikuwa mjamzito kwani aliondoka nyumbani) niligundua baadae kuwa mtt wa aliyekuwa house Girl wangu ni wa mume wangu
kama kawaida yake akaomba msamaha safari hii hadi kupiga goti na kulia ili nimsamehe...na mimi kwa kuwa bado nampenda na nimemvumilia kwa mengi nikaamua kumsamehe tena..ila tulikubailana masharti mengi na akakubali masharti yote niliyompa..mwanzoni alibehave vizuri sn akawa muwazi kwng hanifichi chochote kuhusu huyo mtt.. na tuliishi maisha ya furaha kwn alinijali mno na alionekana kweli amerigrate.
sasa cha kushangaza siku za karibuni amebadilika san, amekuwa msiri na hasemi chochote kuhusu huyo mtt wa nje..siku hizi anatuma hela kwa siri na pia anawasiliana na huyo mama wa mtoto kwa siri haniambii chochote..
nilipoona mabadiliko niliamua kumuuliza imekuwaje tena mbona siri tena wkt tulikubaliana kila kitu kiwe open? hakunijibu isipokuwa alikuwa mkali na kufoka na kusema hilo swala tumeshamalizana nalo sitaki kulisikiasikia tena..
nikajaribu tena siku nyingine kumuuliza na majibu ndio hayo hayo, kwa kifupi hataki na anakwepa kuzungumzia hilo suala kabisa...sasa najiuliza kwa nini anafanya siri? km hakuna jambo lolote baya basi anaficha nini? ina maana kuna kitu zaidi ya mtoto.
Sasa jamani mimi nimeamua km ifuatavyo
1. Na mimi nimeamua kuwa na mahusiano nje ya ndoa, jamani msinilaumu nami pia nahitaji kuliwazwa na kufarijiwa kwa kifupi nimechoka na mastress yasiykuwa na mwisho, sikuwahi kumcheat mume wng ktk maisha yote ya ndoa. ila sasa atanisamehe tu ht akijua wl sijali, nipo tayari kwa lolote..
2. Sina mpango wa kuondoka kwenye nyumba tuliyojenga pamoja nitaishi hapa hapa kwani sipendi wtt wng walelwe na mzazi mmoja..wtt hawajui kinachoendelea in fact hata ndugu na jamaa hawajui chochote kwani mimi sijawaambia na wala sijawahi kuwaeleza matatizo ya ndoa yng..kwa nje tunaonekana familia iliyobarikiwa na ina furaha lkn wenyewe ndio tunaojua ndani kukoje
3. Kwa sababu sisemagi matatizo yangu kwa ndugu na marafiki nimeamua kuweka hapa labda nitapunguza kitu fulani kichwani kwani sometime naona km nazidiwa mawazo vile
Umetunga mwenyewe
ReplyDeleteKwanza napongeza Kwa Moyo wa Busara Dada umeonyesha Uvumilivu Mkubwa wa kuilinda Ndoa yako ni wasichana wachache Sana katika Dunia ya Leo wenye Moyo kama wako yaani umeku cheate Mara 3 Na bado ulimsamehe kifupi Mume aonekani kama nimtu anaetaka Kubadilika uomuzi uliochukua ni sahihi Kabisa muoache Na yeye aonje uchungu wa Kusalitiwa tena akijua Na wewe Muombe Msamaha Wala usimuonyesha kama unalipiza Kisasa Endelea Kumcheate mpka ajue Na najirekebisha..
ReplyDeleteusilipize kinyongo ila muombe Mungu na atakusikia na utaona mabadiliko kwan Mungu hapendi wa2 kulipiza kinyongo
ReplyDeleteLakini ndoa nikuvumiliana na nnaamini hayo maamuzi umeyafanya kwa hasira na mtu akiwa na hasira huwa hana maamuzi sahihi kitu kingine wanawake wengi mlio ndani ya ndoa mna tabia yakuwabana waume zenu wakati hamtaki kuwapa kuwapa kwa uhuru pale wanapo wahitaji
ReplyDeletechunga sana mama usize ukavunja ndoa yako
ReplyDeleteKama unataka watoto wacteseke bas ucwe nje ya ndoa, mwache huyo mme wako na ucisubutu kuiga mabaya ya mwenzio! Dhamb ya kufanya huku unajua wajitia moton mwenye! Acha utoto mama, jal family yako na maisha yako binafc. Mwache jamaa ale raha, ila mwisho wa cku muwe na mazoea ya kupima kila mtakapo kujamiiana, maana kuna kuambukizana mkakosa m2 wa kumlaumu. Ni ayo 2, mo info contuct 0689143920/ email_nyandajulius@gmail.com
ReplyDeleteUwamuzi wako naunga mkono...au ameongeza mtoto mwingine na huyo house gal au wamegombana kunakitu hapo taratibu chunguza utajua...na kwako usitoke
ReplyDeleteipo cku utatunga story jinsi unavyomgonga mkeo make huna jipya
ReplyDeletemsiba wako utaongezeka acha maamuzi yahasira ni pepo mchafu huyo! ! Muombe Mungu yeye aliyekupa ndoa atairekebisha. Ukitoka2 njee ya ndo UMEKWISHA.
ReplyDeleteYote tisa kumi UKIMWI, hivi mko wangapi sasa hapo na je kondom zinavaliwa vzr wajameni? Manake hapo mi nawahesabu kama kwa uchache kabisaa mpo watu 20 hv mnabanjuana by intuition
ReplyDelete**Hulaumiki ndugu na wewe mtu na una moyo tena wa nyama.. Pole kwa matatizo**
ReplyDeletekm huna cha kushauri c unasoma hlf unapita tu!!! oooh kikopi ooooh kutunga jna lenyewe la blog udaku wataka aandike nn historia ya maisha yako?!?!?!?! kuweni wastaarab kidogo na tujifunze kuthamin kazi/muda wa mtu. n hyo tu ciao
ReplyDeletembona nakuona uko fresh tu jamaa anataka nini huko nje? au haumridhishi kwenye 6 by 6 ?
ReplyDeleteNi ujana mvumilie ikiwezekana nenda kwa watu anaowaheshimu chagua mmoja iliaje amueleze kucheat sio solution ni kujidhalilisha
ReplyDeleteMamà huna haja ya kutoka nje ni kujitafutia mengne tu mi nakuomba ufikirie watoto wako mamii mi naomba nijitolee muda wangu kukushauri na canceling kidogo kama utaona sawa nicheki kupitia rombymuta@gmail.com
ReplyDeleteMMMMMMMMuombe Mungu akutie nguvu na ujasiri ktk hilo,
ReplyDeleteinauma but jitahidi kulichukulia km sehemu ya maisha maisha,lea watoto coz ndiyo kila kitu.
y
ReplyDeleteInasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao
ReplyDelete*Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.
*Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika
*Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa
*Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika .. kama ulikuwa unataka kwa nini hukuwahi kulala unangoja nilale ndo unakuja kunisumbua..
*Mwanamke huyo hatingishiki kwenye mechi kata kidogo tena amenuna... anangalia kushoto au kulia anangoja goli liingie ... kama golikipa aliyekata tamaa ya kudaka penati......
*Mwanamke haweki kabisa maandalizi kama zana za kufanyia usafi baada ya mechi kama taulo, kitambaa nk
Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume kusononeka....na mara nyingine juamua kuzira na kuwa mwanzo wa mmoja kuhama chumba..... Wanawake wenye tabia hizi jirekebisheni
anonymous hapo juu sababu zako si za kweli ata kidogo na inaonesha ww ni mwanaume, inshort wanaume hamridhiki ata mkipewa nini milele hamtaridhika, ngono mbele majuto baadaye, siye wanawake tunauvumilivu sana tu na ata ukiona mwanamke hajatulia ujue amepata janga kama la mtoa mada. any way, mtoa mada pole sana dada angu ila kuhusu kutoka nje sikushauri kwani huko nako kwahitaji fani kam siyo fani yako utakuwa unajitesa tu na si vinginevyo. utahic labda wamkomoa mumeo kumbe unaumia mwenyew moyoni, hayo mambo yaache tu. Sali waombee wanao, ishi naye mumeo ila mpotezee. najua mapenzi yako kwake yalishaisha bali mvumilie. si yeye wa kwanza kucheat msamehe kama ulivyofanya mwanzoni. save ure family
ReplyDeleteushauri wangu mnyime mwambie nimechoka na tabia zako kila mtu ahamie chumba chake na wala asikuguse mwambie katombe kwa amani huko nje.
ReplyDeleteitakusaidia wewe ata ukiamua kupata liwazo nje utatumia condom kwani ndani hutumii rahisi sana kuambukizwa ndani ya ndoa kuliko nje ya ndoa achana naye concentrate kwa wanao ndio faraja yako aliyokupa mungu,
mfanyie imagination yaani kila ukimuona hisi kama unaona lidudu la ajabu itakusaidia kuondoa mapenzi yako kwani na hautasikia maumivu tena maumivu unayapata kwa vile unampenda mtu asiyependeka
pole kwa matatizo 'fiction' dada na unahaki ya kuchukua uwamuzi wowote lakini fikiria sana kabla ya yote.., ila swala moja dogo na wewe sio mkweli kabisa
ReplyDelete" sikuwahi kumcheat mume wng ktk maisha yote ya ndoa"
utashindana na mwanaume?mwanamke akipitiwa na wanaume zaidi ya mmoja anaitwa malaya,mwanaume akigonga madem kibao anaitwa kidume upo hapo?japo zote ni dhambi mwisho ni kufa.
ReplyDeleteAngalia we dada pengine ulimpatia mamlaka makubwa house girl hata ya kumpelekea bafuni maji ya kuoga.
Usifanye uasherati jiangalie kwanza na wewe pengine hauko sawa ktk mambo flan ok?