Nifanyaje nini Niweze Acha Tabia ya Kupenda Majimama?
20
April 13, 2013
Mimi ni kijana wa Miaka 21 , Na umri wangu huu mdogo lakini nimesha experience vitu vingi katika mapenzi...mwanamke wangu wa kwanza alikuwa na miaka 41 mimi nikiwa namiaka 19, toka kipindi hicho mimi nimekuwa nikipenda wanawake wazima wenye umri mkubwa...na cha ajabu kila nikiwatongoza wanakubali wengi wao ni wake za watu ...Sasa imenikaa akilini nikimpata msichana mdogo siridhiki kabisa na mwishowe namuacha natafuta Mwanamke aliye nizidi umri...Tatizo wengi wao wameolewa sasa tunafurahishana tu alafu wanawahi kwa wanaume wao..Naombeni ushauri..Je nifanyenje hizi feelings za kupenda majimama ziiishe?
hapo hapo mpago mzima
ReplyDeletemm nawataka kama wapo waje tu kwangu
ReplyDeletetafuta mwenye miaka 60 uowe yata kwisha bro
ReplyDelete.............?
ReplyDeleteEndelea hayohayo ndo matamu!
ReplyDeleteEndelea mpaka ufumaniwe ndio utaacha hiyo tabia
ReplyDeleteyote hiyo husababshwa nakutokuwa na pesa..kupewa pesa na hao wamama ndo inakufanya uendelee nao
ReplyDeletependa sana ila angalia wake za watu wenyewe watakuf.........................a
ReplyDeleteuna lolote unataka kuongwa 2, na majimama
ReplyDeletejamani mwenzenu kaomba ushauri alafu mnampa mapango sio fresh hebu mshaurini afanyeje ili aweze kuepuka na mambo kama hayo?, mimi kwa upande wangu naona ni bora usali kwa kukusudia hilo linalokusumbua naamini litakwisha na umuombe Mwenyezi Mungu mke mwema na atakuja. Huwezi tena kupenda majimama utakapokuwa na hofu ya Mungu.
ReplyDeletenami naungana na na mchangiaji wa hapa juu ni muombe Mungu sana akuwezeshe uweze kuacha hiyo tabia ya kutembea na wake zawatu wake za watu nisumu mbali na umri na wew ni mdogo madhara makubwa ninayoona hapa ni kunasiku utafumaniwa na wake za watu itakuwa balaa kubwa kwako kijana wacha mara moja hii tabia sio nzuri kwako utapotea kijana wasichana zaizi yako wako wengi tafuta mmoja umooe kabisa kama unataka mwenye mwili mkubwa pia utapata usicheze na maisha ujana maji ya moto yakipoa utajuta kama ukuchukulia vizuri
ReplyDeleteme nafikiri unajiendekeza,na kikubwa unaogopa gharama kwa watoto wenzio coz mijimama inakupa ww, ukifikiria miaka 19 ulipoanza mapenz hela ulikuwa umatoa wapi?Utakufa na kg 2,jiangalie
ReplyDeleteme nafikiri unajiendekeza,na kikubwa unaogopa gharama kwa watoto wenzio coz mijimama inakupa ww, ukifikiria miaka 19 ulipoanza mapenz hela ulikuwa umatoa wapi?Utakufa na kg 2,jiangalie
ReplyDeleteme nafikiri unajiendekeza,na kikubwa unaogopa gharama kwa watoto wenzio coz mijimama inakupa ww, ukifikiria miaka 19 ulipoanza mapenz hela ulikuwa unatoa wapi?Utakufa na kg 2,jiangalie
ReplyDeletedaah hako katabia hata mm ninako kwa mbaaali!
ReplyDeletepumbaavuuuuu..!!!ytkgkuhojkyjerytoih;4pyorlyvbhi
ReplyDeleteItabidi utoe nyuma maana utoe mkundu ufirwe.ndipo hayo mawazo yataondoka.
ReplyDeleteItabidi utoe nyuma maana utoe mkundu ufirwe.ndipo hayo mawazo yataondoka.
ReplyDeletemmmmh...mi napita tu!
ReplyDeleteDuh
ReplyDelete