Wadau natumaini mu wazima Mi ni mjasiriamali toka Arusha but huwa nakuja Dar kwa ajili ya kuchukua bidhaa, nikiwa Dar napenda kujibururdisha ama MEEDA au KONA BAA/AMBIANCE AFRIKA SANA huwa nikipata demu wa kupiga nampelekaga Guest/hotel niliyofikia tunafurahia "game" asb namlipa chake anatambaa.
Sasa katika kuingia guest kadhaa za hapa Dar nimegundua hawa jamaa wa guest wanaweka SECURITY CAMERAS kuanzia kwenye parking, kwenye korido, karibu na milango, vyumbani hadi bafuni. Je, ni haki kuweka security camera hadi vyumbani/bafuni?
Jana nikiwa kwenye foleni Magomeni Mapipa dogo mmoja akaja na DVD kibao za dini, chini yake ameweka DVD ya X ina picha ya WEMA nikainunua ile kufika hotelini nikaweka kwenye laptop najiona mimi na demu niliyemchukua wk 2 zilizopita.
Hakika nilichoka, sijui cha kufanya nishaurini wadau.
**Kawashtaki wenye hotel uliyofikia na uwadai fidia ya m500 ili iwe fundisho kwao kwani wameingilia uhuru wako na sio haki kuweka cctv kwa room au kwa toilet so usiwalegezee jembe komaa nao paka kieleweke**
ReplyDeletePiga copy kibao uuze CD
ReplyDeleteAcha kushauri mtu ujinga kama huna mawazo.mazuri,jamaa ameshanasa umshauri anajitoa vipi wewe unampa ushauri wa kindezi,au wewe ndio unahusika na hiyo hotel nini?nahisi ni ya basha Wako.
Deleteduh pole ndugu,, is not fair pia nikudhalilishwa, chukua sheria wangu kawashtaki
ReplyDeleteKaka dili ilo mtafute wakili katika hotel uliyofikia mueleze kila kitu Kuusu iyo DVD Uliyo recodiwa bila ridhaa yako watakulipa Fidia ya ela nyingi sana tena tena utatoka kimaisha kutokana Na ela utakayo lipya tafuta wakili fasta Kaka dili ilo,awana Haki kuweka Camera mpaka Vyumbani Na chooni hata iwe 5 star hawana ruhusa iyo nafanya kazi katika 5 star Hotel hapa Dubai Hakuna Camera vyumbani wa chooni Na airuhusiwisi kuweka Camera vyumbani Wala chuooni Dili ilo Kaka changamka mapema Biashara Hasubuhi..
ReplyDeleteHAKUNA kitu kama hicho hizo ni fix
ReplyDeleteukome kuchukua makahaba ......yo zako
ReplyDeleteuongo mtupu fi hizo story ya kutunga hii
ReplyDeletehii story nishawahi isoma mwaka juzi sehemu tofautu tofauti ni ya kutunga hii
ReplyDeleteItaje hiyo hotel ili isipate wateja
ReplyDeleteIangalie vizuri hiyo video uone. Jinsi unavyokatika mauno
ReplyDelete