Pamoja na kwamba hii stori bado inafatiliwa na millardayo.com taarifa ambazo tunazo mpaka sasa ni kwamba madereva wa bajaji jana April 3 2013 waliamua kuvamia kituo cha polisi Kawe Dar es salaam wakitaka Mwanajeshi anaeshikiliwa na kituo hicho anaedaiwa kumuua mwenzao kwa kumpiga, aachiwe huru ili wamuadhibu wenyewe.
Taarifa ambazo bado hazijadhibitishwa na Polisi lakini zimezungumzwa na mashuhuda wengi, zimesema Mwanajeshi huyo alipanda Bajaji ya Marehemu na kudai haoni simu yake kwenye bajaji hivyo alihitaji irudishwe lakini marehemu akasema hakuona simu yoyote kitendo ambacho inadaiwa kilimfanya Mwanajeshi huyo kuwachukua wanajeshi wenzake na kumpiga marehemu kwa kisa cha wizi mpaka kufariki.
Huu sio mwisho wa hii taarifa, tumejaribu kumtafuta Kamanda wa Polisi Kinondoni Charles Kenyela lakini hakupatikana.. bado tunaendelea kuifatilia ambapo taarifa mpya utazipata hapa na saa moja usiku kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM.
Source:Millard Ayo
You've made some good points there. I checked on the web for more info about the issue and found most individuals will go along with your views on this web site.
ReplyDeleteReview my blog; pilgrim jewellery australia
right, I appreciate this short article. Because of this article.
ReplyDeleteAlso visit my page :: silver jewellery cleaner
how can easily i do this on a mac.
ReplyDeleteAlso visit my weblog: xerox phaser 8560 maintenance kit
It works !!! Thank you a lot !!!
ReplyDeleteMy blog post xerox phaser 8560 color printer
Asking questions are truly nice thing if you are not understanding anything
ReplyDeletetotally, but this paragraph provides nice understanding even.
My blog post: nfl fantasy football
Amazing! This blog looks exactly like my old one!
ReplyDeleteIt's on a completely different topic but it has pretty much
the same layout and design. Excellent choice of colors!
Here is my weblog :: Calvin Klein espa�a