PROF. JAY Aikana Website Hii ... Asema Si Ya Kwake


Watu wasiojulikana wameonekana kufungua Tovuti au Website yenye jina la rapper mkongwe in TZ, Prof. Jay bila ya rapper huyo kujua kinachoendelea ...
Kwa mujibu ya maelezo ya Prof. Jay himself, tovuti hii ipo kwenye matengenezo na bado haijakamilika hivyo ameshtushwa sana na kitendo hicho kutokea na hana taarifa yeyote na website hiyo ...
Pia rapper huyu amewaahidi mashabiki wake kuwa atalishughulikia suala hili na atahakikisha kila kitu kinakuwa kwenye mstari ...
Website hiyo yenye link: http://www.profesorjaytz.com haionekani kuonesha vitu vyenye kueleweka pale unapoifungua ...
Cheki muonekano wa tovuti yenyewe hapa chini :

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad