Spika Makinda anapata maelekezo kutoka nje ya bunge - Dr Slaa


Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amesema Spika wa Bunge Anne Makinda amekinajisi kiti cha spika.

Dr Slaa ambaye ni gwiji wa siasa za Tanzania amemshutumu vikali Spika na Naibu wake kwa kuharibu kabisa bunge la Tanzania na kupoteza kabisa heshima yake ndani na nje ya nchi.

Dr Slaa amefichua kwamba maamuzi yote yanayofanywa na Anne Makinda si kwa utashi wake bali ni kutokana na maelekezo maalum anayoelekezwa kutoka nje ya bunge.

Kutokana na vitendo vinavyofanywa na kiti cha Spika imefika mahali Spika na Naibu wake wanadharauliwa hata na watoto wadogo.

Spika Anne Makinda kwa sasa ni mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri kuu ya CCM.

Source:ITV Habari.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uko sahihi kabisa Dr.Slaa.. Huyu dem Anne hajielewi kabisa hata kwa m2 asiejua sheria za bunge anaweza kuliongoza bunge vizuri kuliko yeye. Tatizo kiti alipata kwa promo so lazima awaridhishe waliompromot.. Nakuchukua sana we dem Anne

    ReplyDelete
  2. Please leave my mother alone mkome na umaskini wenu na shida zenu.Mpende msipende yeye ndio Anna makinda mtaji beba tunakula kuku tunajenga nyumba ya 22 sasa na 3 USA mkome mbuzi Koko nyie

    ReplyDelete
  3. Haha mtoto wa makinda nipo USA nakula kuku tuuu all bills paid by you mbuzi nyie

    ReplyDelete
  4. Kuma ww unasifu usenge

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtakufa na maji ya visimanj mbuzi nyie .Anna yupo
      Juuuuuuu

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad