Nimeiona orodha ya nchi 20 masikini zaidi dunia na jambo la kufurahisha ni kuwa tanzania haipo kwenye orodha hiyo.nchi ya msumbiji ipo kwenye orodha ya nchi masikini lakini kuna jambo limenishangaza kidogo.thamani ya pesa ya msumbiji iko juu zaidi na ya kwetu kwa maana kwasasahivi 1000tsh = 18.97 meticais.sasa wale ndugu zangu wataalamu wa uchumi naomba mnisaidie kuhusu hili.kwa upeo wangu mdogo thamani ya pesa ya nchi fulani yaweza kutumika kama kigezo cha kubaini hali na kiwango cha uchumi wa nchi fulani?najua zipo sababu zingine kadhaa lakini hili limenishangaza kwa kiasi fulani
Read more Here:http://www.therichest.org/world/poorest-countries-in-the-world/
NI PATO LA TAIFA GAWANYA KWA IDADI YA WATU WALIOKO BILA KUJALI NI NANI ANAMILIKI KIASI GANI IKUMBUKWE KWENYE MALI ASILI CONGO AU ZAIRE TANZANIA HAIFUI DAFU MBONA NDIO MASIKINI KULIKO TANZANIA SUALA LA GDP WAACHIENI WATAALAMU ACHENI KUBWABWAJA
ReplyDeleteKuhusu thamani ya pesa si kigezo, japani pesa yao haina thamani kama rand ya southafrica na wanashika nafasi ya tatu kwa uchumi duniani.

ReplyDeleteSioni sababu ya kufurahia kwa resources tulizo nazo tz tulipaswa tuwe mbali sanaa,tuna kila kitu hapa nchini
ReplyDelete