Wanaume za Watu Wamepanda Bei Sana Siku Hizi?


Waume za watu bwana siku hizi watamu kama wametiwa sukari ya dubai! Ukiwaonja hunasuki! Yaani kama sumu isivolambwa. Haramu lakini tamu! Na hii inatoakana na Mabachelor kuchushaaa! Sifa kuu za waume za watu wengi ni hizi (Yaani mambo yao kama universal vile! utazani kuna standardiztion ilifanyika)

1. Wanahonga Balaaaaaaa! Kwa wale wasitaarabu mtaita wanajali! Yaani wanajua kujikombaga mweeeeee! Wala huna shida ya kumkumbushia shida yako! Mwenyewe tu anakujali. Akiona huna usafiri atakujali hata kwa tax, pesa ni kiunganishi, kodi atatoa tu wala si mbishi. Ndo maana ma Miss Tz wengi wamefanya mapinduzi ama wamejiweka kwa waume za wenzao.

2.Wamepevuka kiakili na wanajua kumhandle mwanamke. After yrs of constant nagging and endless bettles na wifey lazima akili zimkae fresh. Yaani the wife did all the coaching, so ukimpa weye anajua what he better does or else......! Sio mabachelor manshindana kama mtu na mke mwenzie. Chezea kujikuta situation ya No Way Out all you can do is make up with the ubavu wa pili.

3. Mahusiano yanakua open na hamna drama drama za kipuuzi! Kila mtu anajua ule uhusiano ni special kwa kula bata, mikasi, na kumwagiana pesa! Baaaaaaaaaaaass! Drama za kujipima unapendwa hupendwi hazimo. Mambo ya kuchungulia simu na u spy na nini unamuachia Wifey. Mkikutana ni bata mtindo mmoja na kufanya maovu tu.

4. Adventureous yaani hujui mwisho utakuwaje? Kama ndo utachanwa na viwembe ama utamwagiwa tindi kali! On the bright side hujui kama utavuna mijumba mingapi na ndinga ngapi? Yaaani balaaaa!

5. Mwanaume anakuwa in constant devotion ya kukurizisha coz anajua akileta upuuz tupa kule, anajitumaje sasa! Sio kwa simu, sms, lunch, dates ili mradi kujirizisha yupo kwenye ratiba yako.


DISCLAIMER!

Huu sio msimamo wangu, Im just people! It is what it is and i said it as it is!

Argument za Wake za watu
Ni tabia mbaya Mungu hapendi, na ukimtendea mwenzio hivo nawe utatendewa. Anakutumia tu, he loves me the wifey.

Argument ya Wezi wa waume za watu
Utajiju bibi wee, mi sina mume nina kasoro gani? Tutabanana hapo hapo. Kwanza sina uhakika kama nitaolewa. Hanitumii tunatumiana, kwani anaondoka nayo? Na hizi pesa anazonihonga kwa raha zangu! Angekuwa anakupenda kweli asingekuja kwangu! FYI ndo pia inavunjika vile vile kutangulia sio kufika.

MI SIMOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!

Haya mvua ya mawe ianze!!!!!!!!!!!!!

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acheni dhambi hzo za kujitakia mwenyew kuwa na hofu YA MUNGU.

    ReplyDelete
  2. Dunia inaelekea pabaya mambo ya aibu sass imekuwa ni ufahari???

    ReplyDelete
  3. bad bad sio poa kiivyo olewa na wewe uone utamu wa mume sio tu utamu wa mume wa mtu! sshhhnnnzzzz!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad