Wanawake london Kugomea Show ya Diamond Baada ya Kumzalilisha Wema


Baada ya Diamond kusambaza clip ambayo inasikika Wema Akiongea nae ambayo Diamond Amesema kuwa Wema Alikuwa anajitongozesha...Mange Kimambi Ametoa Wito kwa wanawake wote walioko London Kutokwenda show ya Diamond akienda kufanya Show huko kwa vile alimzalilisha mwanamke mwanzao....

"PS: Alafu bado utaona kunamijanamke huko London itavaa kabisa nguo na kujipaka ma makeup kwenye kumkatia Diamond viuno kwenye show... Ladies lets stand together...
tutadhalilishwa mpaka lini na hawa watu.....embu tuonyeshe mfano hapa......HAKUNA MWANAMKE KWENDA KWENYE SHOW YA DIAMOND HUKO LONDON..
ATAKAE KWENDA NTUMIENI PICHA YAKE HUMU TUMJUE.......ILA GUYS Seriously huyu jamaa kavuka mipaka tumfanye mfano kwa wenzie" Mange Kimambi

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MNAO KINGIA VIFUA VICHECHE TWASHINDWA KUWAELEWA MNATAKA WATU WAFE UKIMWI HUKO ALIKO HADAISWA MNAJUA KARUDI NA NINI? DIAMOND BIG UP MWANAUME LAZIMA UCHUKUE MAAMUZI MAGUMU KAMA HAYA HAKUFUKUZWA KAKIMBIA ANARUDI NAN KA MWITA ... ACHENI USHABIKI USIO MAANA HUU UWE MFANO KWA WENGINE WENYE TABIA KAA HIZ MNASAMBAZA SANA UKIMWI

    ReplyDelete
  2. Na Dar pia tugome. Hapo vipi!?

    ReplyDelete
  3. Mbona kichwa cha habari hakiendani na habari iliyopo ndani! Utaandikaje "watagomea" alafu habari inasema ni mtu ndo anahamasisha kua "wagome",hata hivo ukisoma hiyo habari kwenye website ya mange amemalizia na am just kidding,meaning anatania ila ulivo kihere here umeikata au sio? Ila ndo matatizo ya kuokota okota habari! Ovyooooooooooo

    ReplyDelete
  4. Platinum is righ and that bitch Mange is just a snitch wema anawezaje kumpigia cm mtu yuko na mpenz wake,

    ReplyDelete
  5. Waliona iyo clip ni nani? Dats fucked up yaani..hawa ni macelebrity sawa na wanakua na enemies kibao pengine mtu tu katengeza iyo clip kumfanya diamond ashuke ila sisi kama hes fans tunaelewa ilo na tunaitaji tumsuport msanii...izo beef za wema na diamond tuwaachie...mbona ray j na kim wamefanya sextape na imevuja na hakuna ata mtu alomchukia ray j wala kim kardashian..grow up guy!

    ReplyDelete
  6. N speakin of kujidhalilisha wanake mnajidhalilisha wenyeni...acheni kutongoza wanaume! Stop wearin naked outfit, technically mnajiuza...if u wanna be respected then start respectin urself kwanza..

    ReplyDelete
  7. Kidumeeeeeeeeeeeeeeeeee, Diamond itikia basi!!!
    shika shika shika kamata kamata mange kimambi naye kinamuwasha.kazi kwako kidume, jua tumeumbwa tofauti na kina mama, wachache wanaoweza kusema nataka ile kitu naning'ing'inia hapo katikati ya miguu ya men. sasa mamb mange anaonyesha dalili. tunajua diamond hana hiana kugawa hiyo,
    tunakushauri diamond mpe mzigo mange.

    ReplyDelete
  8. wewe kama mtu amejipendekeza mwenyewe kwanini asifanyiwe hivyo huyo wema wako amezidi mno, muacheni Diamond wa watu, una lolote na wewe kagombane na sinta ndio saize yako.

    ReplyDelete
  9. wanawashwa hao

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad