Kabla ya kufanya operesheni hiyo, waandishi walitaarifiwa kwamba Wilaya ya Kinondoni jijini Dar ndiyo inayoongoza kwa wake na waume za watu kufanya vitendo vya ngono kwenye magari.
Maeneo yaliyodaiwa kwamba wazinzi hao hupenda kuyatumia ni Coco Beach, Leaders Club, Mlimani City na sehemu kubwa ya vitongoji vya Sinza na Mwenge, Dar.
Mbali na waume na wake za watu, wengine wanaotajwa kufanya vitendo vya ngono ndani ya magari ni mastaa wakubwa ambao wanaogopa kwenda kukodi vyumba mahotelini na gesti wakihofia watajulikana kutokana na umaarufu wao.
gest bei ghali xn so inabidi jamaa achape kwenye gari
ReplyDeleteHao nao ni wambea yao yanaonyeshwa na nani?wanawatamania wenzao ndio wakawatoa kwenye magazeti
ReplyDeleteHakuna penzi tamu kama la kwenye gari bwana... milango si inakuwa imefungwa? tatizo nini? noma kufanya hadharani... jaribu siku moja uone...
ReplyDeleteIngekuwa kijijini tungesema hawajui dini wala nini...ila hao nikama watu wa sodoma na gomora.
ReplyDeleteacheni watu na maisha yao bhana kwni wamevunja sheria gani...kwenye gari la m2 unaenda kuchungulia ili iweje...!
ReplyDelete