Wote Wanaoipinga Redio ya watu Clouds Fm wana Chuki Binafsi
14
April 07, 2013
Kwa mda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali zinazohusu radio ya watu claus.watu weng mmekuwa vinara wa kuiponda pamoja na watangazaji wake.nilichogundua hakuna hoja ya maana mnayotoa juu ya redio hii pendwa. Mimi nashauri tuache unafiki na kuwa watu wanaokubali mafanikio ya wengne. Ktk kipindi cha miaka kumi mfululizo redio hii pendwa imejizolea mashabiki ndani na nje ya nchi. Mafanikio yao yametokana na kujua mahitaji ya wasikilizaji. Kwa kifupi ni wabunifu sana katika vipindi vyao. Haishangazi hadi kupata hadh ya super brand radio station. Na hii ndiyo sababu inayofanya iwe na mapato makubwa kupitia mikataba ya matangazo kuliko hata east africa radio. Vipindi vya kijanja kama xxl,leo tena,jahazi,bongo fleva vina mashabiki wengi kuliko vya redio pinzani(ea radio) kama power jam,ea breakfast,planet bongo.ina watangazaji wabunifu kama b12,adam mchomvu,fetty ambao wamekuwa kipenzi cha vijana wengi ambao ndio wasikilizaji wakubwa. Pia ni waandaaji wa tamasha kubwa la fiesta ambalo linahesabiwa kuwa tamasha kubwa zaidi east africa.
MAONI YANGU.
Tumsifie anayefanya Vema na Si kumponda..Wengi wetu tunaoikosoa ndo wasikilizaj wazuri wa radio hii pendwa.sijatumwa na kibaraka yoyote haya ni mawazo yangu chanya najua mtaniponda kwa mawazo yenu mgando
VIVA CLOUDS FM...the pipoz station.
ujui uongealo..chunguza ndo uropoke
ReplyDeleteumelipwa sh ngapi??njaa itakumaliza
ReplyDeletechunguza kwa makin ndo uxeme
ReplyDeletekwanza vpndi vyao vngi ni vya kuponda na kuchochea bifu kwa madai zinakuza mziki...
ReplyDeletehuyo choko mwenzao
ReplyDeleteWatu wanaaamka wanajua wasemacho si kama ww utakua umelala. Amka angalia maudhui ya clouds aina ya watangazaji na zaidi aina ya wasikilizaji wao. Then come bak n pove. Lasivyo kakojoe ukalale
ReplyDeleteWewe msenge kweli hujui ni kiasi gani hii redio inaharibu vijana wa kesho. Unawaza kwa kutumia matako ndio maana hujui ni kiasi gani vipindi na watangazaji wake hawafuati maadili.
ReplyDeleteRadio ya watu ilikuwa kpnd cha nyuma kwakuwa watu hawakuisoma vzur ni kama ccm,sas watu wamekua kiakili hauwadangany ktu kabisa,sas sio radio ya watu tena itabaki ya kwao wao! Bora usikilize kelele za nzi siku nzima kuliko kufungulia radio inayojiita ya watu.wachochezi,walopokaji tu.ivo vpnd unavovisifia wanapga soga tu kuongelea story za leo wanaleta umbea kazini,hawana lolote
ReplyDeleteWanakupumulia wewe c Bure!! jiulize kwanza kwanini kila siku wao tu!? kwani hakuna Redio Nyengine!? n' then ndio uongee! hata hivyo vipindi vyao Vingi wanawaiga EAT/EAR kama hujui Mburula!! nakupa mfano: EAT/REDIO walikuwa na kipindi kinaitwa BOngo Movie,(cha Joyce Kiria) {kama unafuatilia} hao mazuzu wakacopy wakapaste wakakiita cha kwao TAKE ONE!! EAT/REDIO, wana FNL na mamburula a.k.a vilaza wakacopy wakapaste, wakaita WEEKEND CHART SHOW, halafu ndio hooooovyo, Upo!? eat/Redio wanakipindi chao cha SKONGA, eti na vilaza wale nao wakacopy chao wakakiita STUDENT CORNER, halafu mlivyokuwa mazuzu na kujua kama mmekopy, mnasema samahaaani lakini!! kwakujua mmetafuniwa mkameza!! sasa wewe mshikwa migozi ya Tumbo unasema wabunifu, hebu niambie huo ubunifu wameutoa waapi!? au ubunifu wa Kucopy!?

ReplyDeleteKaka we HUJIELEWI...
ReplyDeletewe msenge kweli kipindi cha supa mix ni kizuri kuliko vipindi vyote kwenye redio ya wafu kisikilize ndo uongee
ReplyDeletemafala 2 ao awana lolote, redio ya mashoga hyo.
ReplyDeletekuma la mama yake anayeisifia clouds fm
ReplyDelete